Mkopo mkopo pls

Mkopo mkopo pls

Old-Timer

Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
76
Reaction score
15
Wana JF,
Nakuja kwenu naomba mnisaidie mwanaJF mwenzenu mkopo WA Mil 6, hata kwa riba ambapo nitaanza kulipa baada ya mwezi mmoja. Nina gari na kiwanja. Gari daladala naweza kuacha kadi, kiwanja kina Leseni ya makazi.

Natanguliza shukrani.
 
Be specific,
Unarudisha lini?
Uko tayari kwa riba kiasi (%) ngapi?
Na ukishindwa kurudisha ndani ya huo muda then iweje?
Otherwise kama terms ziko poa tutafutane
 
Be specific,
Unarudisha lini?
Uko tayari kwa riba kiasi (%) ngapi?
Na ukishindwa kurudisha ndani ya huo muda then iweje?
Otherwise kama terms ziko poa tutafutane

acha kusumbua akili ya mwenzio bwana, kwani wewe terms zako zimekaaje?
 
Magari mengine unaweza kuachiwa kimeo cha Interpol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom