MKOPO MKOPO MKOPO

MKOPO MKOPO MKOPO

Joined
Jun 27, 2019
Posts
12
Reaction score
7
Wana Jf naomba kuuliza jamani hv kwa wale walio maliza,kidato cha nne na kuchaguliwa moja kwa moja kwenda chuo kuna uwezekano wa kupata mkopo

ASANTEN PIA NATEGEMEA MAJIBU MAZURI
 
Wana Jf naomba kuuliza jamani hv kwa wale walio maliza,kidato cha nne na kuchaguliwa moja kwa moja kwenda chuo kuna uwezekano wa kupata mkopo

ASANTEN PIA NATEGEMEA MAJIBU MAZURI
Inategemeana na programme uliyochaguliwa eg Education especially in science subjects wanapata mkopo
 
Back
Top Bottom