Mkopo kwa wa diploma

Ndugu yangu kama nyumbani wana kauwezo kidogo ungeachana na huo mkopo maana tuliokopeshwa shida tuliyonayo sisi wenyewe ndio tunajua.
Nimesema kama nyumbani wanauwezo ungeachana nao kabisa
 
Ndugu yangu kama nyumbani wana kauwezo kidogo ungeachana na huo mkopo maana tuliokopeshwa shida tuliyonayo sisi wenyewe ndio tunajua.
Nimesema kama nyumbani wanauwezo ungeachana nao kabisa
Boss cost ni kubwa sana Mtu ameshawahenyesha Wazazi wakati yuko Dip ya nini kutumiwa Hela za Meal na accommodation mpaka ngazi ya bachelor ww huoni kaumri kake pia kamesogea Wacha akopeshwe tu atalipa au Atafute kazi atajiendeleza later, Kwanza mwanaume ni Madeni
 
Back
Top Bottom