M MDOE jr Member Joined Nov 21, 2015 Posts 28 Reaction score 0 Dec 8, 2015 #1 jamani kwa wale mwaka wa pili na watatu ndo tumechinjiwa baharini au zamu yetu bado.......?
tuqdollie Member Joined Sep 24, 2014 Posts 12 Reaction score 0 Dec 8, 2015 #2 Majina yanapelekwa kwa loan officer wa chuoni kwako
Mzee Mchopu JF-Expert Member Joined Sep 24, 2014 Posts 1,031 Reaction score 268 Dec 8, 2015 #3 tuqdollie said: Majina yanapelekwa kwa loan officer wa chuoni kwako Click to expand... Yanapelekwa lini Mi nna ndugu yangu Hana mama wala baba mpka sasa hajui hatma yake yupo mzumbe mbeya
tuqdollie said: Majina yanapelekwa kwa loan officer wa chuoni kwako Click to expand... Yanapelekwa lini Mi nna ndugu yangu Hana mama wala baba mpka sasa hajui hatma yake yupo mzumbe mbeya
M MAN SUBU Member Joined Feb 27, 2015 Posts 44 Reaction score 4 Dec 8, 2015 #4 komaeni na mnaemuita bwn kz,,,atawpa mjb xahh
kapongoliso JF-Expert Member Joined Jul 16, 2011 Posts 1,353 Reaction score 492 Dec 8, 2015 #5 Hapa kazi tu, mmeanza kuisoma namba