Mkopo elimu ya juu

Mkopo elimu ya juu

smartj

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
296
Reaction score
153
Kwa vigezo hivi vipya vipya vya mkopo wa elimu ya juu vijana wengi watashindwa kuendelea na masomo pia tutegemee ongezeko kubwa la madada poa inasikitisha mno ili swala
 
Naona sasa mkulu kaamua kutafuta njia mpya ya ajira kuwa nje nje kama zaman,kwasababu wasomi watakuwa wachache
 
Back
Top Bottom