mkono wangu jamani.............

ummu kulthum

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
2,785
1,317
umevimba tenzi haliumi hata nikilibinya sana sihisi chochote nikiuinamisha mkono ndo linatokeza kama gololi mkono ukiwa kawaida linaonekana kwa mbali

hospitali wamesema ni operashen ila niliache likuwe kidogo natafuta tiba mbadala kama linaweza kuisha bila ya oparesheni kwa yeyote anayejua tiba ya tatizo hili anijulishe natanguliza shukran

nataka kuweka picha lkn nashidwa goja niwasiliane na Mzizi mkavu nitaiweka hivi punde

vvu havipo labda vije baadae
 
Wataalamu wanaita GANGLION, hata mimi ninalo hilo tatizo na nimeshaonana na marafiki zangu madaktari mara kadhaa wanasema hamna tatizo lolote lakini kama ni kero kwako pia kuna surgery ya kuliondoa lakini kwa baadhi ya watu hata ukiliondoa baada ya muda linarudia tena. Kwangu mimi uvimbe huo ni mdogo sana na si kero kwangu so maisha yanakwenda tu poa.
 
asante rafiki ila changu ni kikubwa kidogo kama unafahamu matunda ya porini yana itwa sasati au lande ndio ukubwa wake nimepiga na picha ila nipo na ka mchina nashidwa kuweka humu
 
asante rafiki ila changu ni kikubwa kidogo kama unafahamu matunda ya porini yana itwa sasati au lande ndio ukubwa wake nimepiga na picha ila nipo na ka mchina nashidwa kuweka humu

Pole sana mkuu, unaweza fanya small surgery kukiondoa kama kinakukera sana. Lakini Tahadhari ni hiyo kuwa kinaweza kikawa kinaota tena so inaweza kuwa ndiyo life style yako hiyo kila baada ya muda fulani unafanya surgery kukiondoa. Kama hakikubugudhi you just enjoy life!
 
Unafanyiwa operesheni ndogo sana inatolewa. Dadangu alitolewa mkononi nadhani 1996 na hakijarudi hadi leo. Pole
 
Back
Top Bottom