Mkomoe mwanga

je mshana jr kama umepatwa na tatizo hilo tafadhali tufahamishe jinsi kutibu baada mlipa kisasi kulipa kisasi kulipa kisasi dawa kujiponyesha mwaga mboga baada ya kumwaga ugali
 
Endapo ukichukua unyayo wa mtu ambaye sio mwanga, je hayo matatizo yatampata?
 
Endapo ukichukua unyayo wa mtu ambaye sio mwanga, je hayo matatizo yatampata?
Hapana kwakuwa moyoni mwake hana nia ovu labda tu manuizi yako yalenge kumdhuru
 
je mshana jr kama umepatwa na tatizo hilo tafadhali tufahamishe jinsi kutibu baada mlipa kisasi kulipa kisasi kulipa kisasi dawa kujiponyesha mwaga mboga baada ya kumwaga ugali
Asilimia kubwa ya wanga sio wachawi na wengi hufanya kwa kujifurahisha tatizo ni pale utakapokutana na mchawi mwanga
 
Hauwezi kufanikiwa na tabia zako kufundisha watu uchawi na ulozi, kumbuka hapa duniani Mungu ni mmoja tu aliyeumba Mbingu na nchi na atabakia hivyo milele.
Hayo matakataka na mauchafu yako unayofundisha watu hayana maana na unadhihirisha ni namna gani akili yako ilivyodumaa.
Haueleweki mara unaipondea serikali ya Rais JPM na utawala wake mara unafundisha watu uchawi na ulozi, mambo yote utashindwa sababu tayari akili yako na imani yako ni ndogo sana na sijui kama hata ile stationary uliyokuwa unauza manzese ulipata mteja.
Hata kama JF wanakutumia ili JF waendelee kupata views wengi na mada zako za kishenzi hawawezi kufanikiwa.
Na unatakiwa ujue kwamba hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho na mwisho wa huo uchafu na matakataka yako unayojaribu kufundisha watu yana mwisho na mwisho wake sio mbali kutoka sasa.
Wewe ni moja ya watu washenzi unaechafua wenzako wa kilimanjaro walio staarabika, na ni vizuri ukabadilisha hilo jina kuliko kuendelea kuchafua wapare wenzako namna hiyo.
 
imebidi tu niweke post inayotoa rai ya kuhalalisha matumizi ya bangi maana naona ina wateja wengi
 
Kuna watu akili zao zimedumaa kwa kuwaza uchawi na ulozi siku zote na wakati hayo mambo ni uchafu na takataka kuliko uchafu na takataka zote duniani.
Ni afadhali kichaa ambaye anashinda jalalani kuliko mtu aliyeshikilia uchafu wa uchawi na ulozi.
Mtu ambaye akili yake siku zote inawaza uchawi na ulozi **** mana haiwezekani mtu aliyezaliwa na kulelewa katika maadili mazuri akawa na mawazo machafu kama mshana ya kuwaza uchawi na ulozi kila siku.
 
Wee junya Kama huipendi na haikufai ipotezee ficha umaku wako Sawa bibie!wengine imatufaa kiazi wewe
 


Wwe ni lipumbavu tena pumbavu kubwa!
 
Wewe ni mchelemchele tu ndo maana huishi kujipendekeza
Wewe ni mbwa tu, kamwite mwenye mbwa mshana kigagula ajibu.
Sitochoka kuwapiga vita na imani zenu zilizojaa uchafu na takataka.
Hivi mnataka kuturudisha karne ya 9 na mambo yenu ya kishenzi so mnataka watoto wanaojiunga JF leo wajifunze nini na huo ushenzi wenu ?.
Shame on you.
 
Junya ni junya tuu
 
Endeleeni kujipa moyo ninyi wanga, ninyi ni vichaa tu, mana haiwezekani mtu mwenye akili timamu akawa na mawazo ya kishenzi kama hayo.
Maisha yamewachanganya hadi mnakuwa vigagula hapa JF.
Hatari sana
Naona una hamu ya kuchokonolewa ila Hakuna anayekutaka hapa katafute basha mwingine ukikosa jikite cha kati
 
HUO MCHANGA WA NYAYO ZA MWANGA UTAZIPATAJE, HIYO SI NI SAWA NA KUTAFUTA MAVI YA MAMBA......?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…