Wamechanganya wanaposema malipo ni baada ya bidhaa kufika na hawajaandika ni bidhaa gani na kutoka wapimna deliver nini?
Hii ni kwamba, kuna wafanya biashara wanakosa wateja au wanashindwa kufanya biashara kutokana na mazingira ya mnunuzi kuwa mbali na muuzaji.. sasa hawa SMAI wanasafirisha bidhaa mteja akiipokea ndipo atakapo fanya malipo!Wamechanganya wanaposema malipo ni baada ya bidhaa kufika na hawajaandika ni bidhaa gani na kutoka wapi
sasa hizi bidhaa wanazodeliver mbona hatuzioni kwenye tangazoHii ni kwamba, kuna wafanya biashara wanakosa wateja au wanashindwa kufanya biashara kutokana na mazingira ya mnunuzi kuwa mbali na muuzaji.. sasa hawa SMAI wanasafirisha bidhaa mteja akiipokea ndipo atakapo fanya malipo!
Hawa ni kama DHL,sasa hizi bidhaa wanazodeliver mbona hatuzioni kwenye tangazo
Naomba kua wakala.Hii ni kwamba, kuna wafanya biashara wanakosa wateja au wanashindwa kufanya biashara kutokana na mazingira ya mnunuzi kuwa mbali na muuzaji.. sasa hawa SMAI wanasafirisha bidhaa mteja akiipokea ndipo atakapo fanya malipo!
Hii ni kwamba, kuna wafanya biashara wanakosa wateja au wanashindwa kufanya biashara kutokana na mazingira ya mnunuzi kuwa mbali na muuzaji.. sasa hawa SMAI wanasafirisha bidhaa mteja akiipokea ndipo atakapo fanya malipo!
Iko vizuri hii...Hii ni kwamba, kuna wafanya biashara wanakosa wateja au wanashindwa kufanya biashara kutokana na mazingira ya mnunuzi kuwa mbali na muuzaji.. sasa hawa SMAI wanasafirisha bidhaa mteja akiipokea ndipo atakapo fanya malipo!
Delivery company wanafanya kazi na wafanya biashara hivyo kama ww unabidhaa unahitaji kutoka kariakoo na unakaa bunju unaweza kuwatuma hao wakuletee then unalipa ukishapata huo mzigosasa hizi bidhaa wanazodeliver mbona hatuzioni kwenye tangazo
Sasa nimeelewa.Jamaa ameshindwa kutoa maelezo ya kutoshaDelivery company wanafanya kazi na wafanya biashara hivyo kama ww unabidhaa unahitaji kutoka kariakoo na unakaa bunju unaweza kuwatuma hao wakuletee then unalipa ukishapata huo mzigo
ndio unalipia baada ya kupokea mzigo. ndo maana inaitwa CASH ON DELIVERY (COD)
ni zaidi ya DHL maana tunatoa huduma ya kulipa ukipokea mzigo wako ulioagiza Dar es salaam
hili hufanyika kwa maduka ambayo tunamkataba nayo, lakini pia wewe kama mteja unaweza pendekeza SMAI Express kukuchukulia bidhaa dukani na kukuletea ulipo ukalipa CASH.Sasa hili zoezi mnafanya kwa maduka yote au kuna maduka ambayo mmeingia mkataba nayo kufanya hii shughuli...?
Kama kuna maduka husika nadhani mngeyataja ili mteja ajue ni bidhaa gani na gani anayoweza kuipata.
Na mnachaji vipi kwa KM za umbali wa eneo mnalopeleka bidhaa husika au...?