Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,752
Ngoma imetengenezwa Bagamoyo katika Baobab Studio na pruducer Kingston. Wenyewe wameipost mitandaoni wanasema,"Ngoma ni ya leo leo na ya bure bure, haina kwere hata ukikutwa nayo unaongezwa na nyingine".
Tisha sana, isikilize Audio hapa: http://www.hulkshare.com/baobabstudio/01-mgosi-mkoloni-feat-msafiri-zawose-kingston-bagamoyo-40
Tisha sana, isikilize Audio hapa: http://www.hulkshare.com/baobabstudio/01-mgosi-mkoloni-feat-msafiri-zawose-kingston-bagamoyo-40