Mkoloni angebaki Tanzania hadi sasa, tungekuwa mbali sana kimaendeleo

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,097
53,485
Ni mara mia mkoloni mweupe angeendelea kuitawala Tanzania. Kimaendeleo tungekuwa tunaongea mengine kabisa.

Miaka 50 hata huduma muhimu za jamii zinatushinda nini mantiki ya kukimbilia kupigania uhuru?

Angalia Afrika Kusini ya sasa, Zimbabwe ya miaka ya 90, Marekani ya sasa ambayo hadi sasa mkoloni yupo.

Mkoloni mweusi ni mbaya zaidi ya mweupe tuliyemfukuza.
 
Hahahaha wew jamaa umewaza mbali sana
 
Lakini pia mlipaswa mvumilie ubaguzi kama ule unaotokea afrika ya kusini na watu weusi kiuchumi mngekuwa na hali mbaya kama ilivyokuwa Zimbabwe.
 
Ni mara mia mkoloni mweupe angeendelea kuitawala Tanzania. Kimaendeleo tungekuwa tunaongea mengine kabisa.
Miaka 50 hata huduma muhimu za jamii zinatushinda nini mantiki ya kukimbilia kupigania uhuru?
Angalia Afrika Kusini ya sasa, Zimbabwe ya miaka ya 90, Marekani ya sasa ambayo hadi sasa mkoloni yupo.
Mkoloni mweusi ni mbaya zaidi ya mweupe tuliyemfukuza.
Kaka naomba nikwambie kitu, mfano wa nchi kama Africa kusini. Walikuwa chini ya mkabulu ambae aliiona ile nchi kama sehem yake ya nyumban ivo alifanya awezalo sababu hakuwa na shaka kwamba ataondoka. Ila ukija Tanzania chini ya mjeruman tungepata maendeleo lakin si chini ya mwingereza ambae tumepata uhuru toka Kwame. Mjeruman alliona hii ni kama kwake alihisi kama anauhalali na hii nchi. Baada ya vita ya pili ya dunia Mjeruman na washirika wake walipigwa ivo makolon yake yakagaiwa kwa washindi Mwingereza na wenzake. Tanzania ikawa chini ya mwingereza kama "Under trust ship colon" kwa Mkataba kwamba watawale hao jamaa (Tanzania) ila watakapokuwa Tamar wape nchi Yao. Kwa mazingira kama hayo hata mwingereza angetawala kwa mda gani, tungepata maendeleo kwa kiwango unachowaza. Alijua kabsa kwamba hapa nipo baada ya mda naondoka, alichofanya ni kunyonya zaid kuliko kuendeleza.
 
Ni mara mia mkoloni mweupe angeendelea kuitawala Tanzania. Kimaendeleo tungekuwa tunaongea mengine kabisa. Miaka 50 hata huduma muhimu za jamii zinatushinda nini mantiki ya kukimbilia kupigania uhuru?

Sijui umri wako lakini hujui maana ya ukoloni, na hakika unawaza kitoto.

Usiringanishe uhuru na utumwa. Waulize walioko gerezani.
 
Acheni na utani na uhuru
Huu uchumi wenyewe wa Sasa ni ukoloni mamboLeo bado tunanyonywa na tuna viongozi wetu
Je wangekuwa wenyewe wakoloni tungeumizwa Sana huduma za jamii zingekuwa maeneo YENYE rasilimali tu wanapojua Kuna neema.. Mikoa mingine ingeachwa na kusahaulika kama ilivyopotezewa na CCM. Kipindi fulani. Wakoloni ni WA kuwalalamikia. Pia na viongozi wetu wenye tamaa wamezidi kutuweka chini. Nchi za kiafrica nzuri zina majanga
 
Hivi unaweza ukajiita una uhuru sasa hivi? Unapata huduma za kijamii kama ambapo mkoloni angekuwepo?
 
Kaka naomba nikwambie kitu, mfano wa nchi kama Africa kusini. Walikuwa chini ya mkabulu ambae aliiona ile nchi kama sehem yake ya nyumban ivo alifanya awezalo sababu hakuwa na shaka kwamba ataondoka. Ila ukija Tanzania chini ya mjeruman tungepata maendeleo lakin si chini ya mwingereza ambae tumepata uhuru toka Kwame. Mjeruman alliona hii ni kama kwake alihisi kama anauhalali na hii nchi. Baada ya vita ya pili ya dunia Mjeruman na washirika wake walipigwa ivo makolon yake yakagaiwa kwa washindi Mwingereza na wenzake. Tanzania ikawa chini ya mwingereza kama "Under trust ship colon" kwa Mkataba kwamba watawale hao jamaa (Tanzania) ila watakapokuwa Tamar wape nchi Yao. Kwa mazingira kama hayo hata mwingereza angetawala kwa mda gani, tungepata maendeleo kwa kiwango unachowaza. Alijua kabsa kwamba hapa nipo baada ya mda naondoka, alichofanya ni kunyonya zaid kuliko kuendeleza.

Alinyonya ila alituachia rasilimali nyingi kututoa pale alipotuacha kwenda pale ambapo tungetakiwa kuwepo.

Angalia hata maendeleo ya maeneo ambayo wakoloni walikaa huwezi kulinganisha na maeneo ambayo walikaa waafrika..
 
Acheni na utani na uhuru
Huu uchumi wenyewe wa Sasa ni ukoloni mamboLeo bado tunanyonywa na tuna viongozi wetu
Je wangekuwa wenyewe wakoloni tungeumizwa Sana huduma za jamii zingekuwa maeneo YENYE rasilimali tu wanapojua Kuna neema.. Mikoa mingine ingeachwa na kusahaulika kama ilivyopotezewa na CCM. Kipindi fulani. Wakoloni ni WA kuwalalamikia. Pia na viongozi wetu wenye tamaa wamezidi kutuweka chini. Nchi za kiafrica nzuri zina majanga

Tunanyonywa na Escrow , Richmond nk. Hivi Raisi au waziri gani tokea uhuru mwenye kuishi maisha ya kawaida kama mfanyakazi serikalini ?? Unajua mwinyi ana nyumba ngapi??? Mkapa na migodiyake ya makaa ya mawe ya kujiuzia, Kikwete na palace zake ?? huyu aliyepo sasa toka alipokuwa waziri alifanya nini ???
 
Ni mara mia mkoloni mweupe angeendelea kuitawala Tanzania. Kimaendeleo tungekuwa tunaongea mengine kabisa.

Miaka 50 hata huduma muhimu za jamii zinatushinda nini mantiki ya kukimbilia kupigania uhuru?

Angalia Afrika Kusini ya sasa, Zimbabwe ya miaka ya 90, Marekani ya sasa ambayo hadi sasa mkoloni yupo.

Mkoloni mweusi ni mbaya zaidi ya mweupe tuliyemfukuza.
Trump alituambia ukweli kwamba Africa itawaliwe walau miaka 100 ili tuanze kuishi na kuji behave kama binadamu. Kwa nayoyaona sasa Congo, Kenya, Uganda, Zimbabwe, Gabon na hata hapa kwetu ni mifano tosha kauli hii ni sahihi.
 
Back
Top Bottom