Kwa kawaida celebrities wanamiliki vitu ambavyo viko above reach ya majority ya watu wa kawaida.
Ndio maana celebrities wa nchi za watu magari wanayoendesha, nyumba wanazomiliki na maeneo wanayokaa ni classy.
Sasa celebrity akiendesha Jeep ama Mark X, Toyota VX, Harrier, au sijui Q6 au 7, Na wakati kuna wajanja wengi mjini wana vitu vya uhakika, inaonyesha ni jinsi gani celebrities wetu walivyokuwa feki!!
Mashauzi na masifa vinataka pesa
Lakini anyway, kibongobongo ni sawa