GE2025 Mkoa wa Singida: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

GE2025 Mkoa wa Singida: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Singida. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Singida una jumla ya Majimbo 8 ya kiuchaguzi yaliyogawanyika katika wilaya 6, Majimbo hayo ni:

  1. Iramba Magharibi
  2. Singida Kaskazini
  3. Singida Mjini
  4. Manyoni Mashariki
  5. Manyoni Mgharibi
  6. Singida Magharibi
  7. Singida Mashariki
  8. Iramba Mashariki

Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > PreGE2025 - Singida: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Back
Top Bottom