Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Simiyu. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka
Mkoa wa Simiyu una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7
Pia soma > PreGE2025 - Simiyu: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

- Jimbo la Bariadi
- Jimbo la Busega
- Jimbo la Itilima
- Jimbo la Meatu
- Jimbo la Maswa Magharibi
- Jimbo la Kisesa
- Jimbo la Maswa Mashariki