mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Shikamoo baba!...mimi ni mmoja kati ya watoto wako ila nipo humu JF kwa ID fake kama ulivyoingia wewe.Ni mapema mno kui rule-out CCM, miaka mitatu CCM inaweza kujijenga upya na kuchukuwa majimbo yote Simiyu. Take my word.
Shikamoo baba!...mimi ni mmoja kati ya watoto wako ila nipo humu JF kwa ID fake kama ulivyoingia wewe.
Hivi baba umeshahau siku ile usiku umetuita pale sitting room sisi watoto wako na mama yetu ukatuambia
kuwa kwasasa uko kwenye hali mbaya ya kisiasa hapa wilayani na unahitaji mshikamano wetu kama familia?.
Baba,wewe ni mzazi wangu nakuheshimu na kukupenda sana! na ninashukuru kwa yote unayotufanyia kama
familia yako...lakini Baba ukweli ni kwamba chama chako CCM kipo kwenye hali mbaya sana hapo wilayani
kwani hata mimi mwanao ni mshabiki mkubwa sana wa CDM ila huwa naogopa tu kukuonyesha my true color.
Likizo ya mwezi wa sita nakuja huko baba na tutaongea kwa kirefu....najiandaa na mitihani ya form six
Miaka mitatu ijipange? kwa hiyo ilikuwa inasubiri muda ukaribie kwisha ndipo ijipange, na wakati CCM inajipanga wao wapinzani wanaangalia tu. CCM haina chake Simiyu, hali hii unayoiona ni kabla ya operation M4C kwenda huko, CCM isipoangalia 2015 majimbo yote yatakwenda upinzani, mark my words, kama huamini angalia matokeo ya uchaguzi uliopita.Ni mapema mno kui rule-out CCM, miaka mitatu CCM inaweza kujijenga upya na kuchukuwa majimbo yote Simiyu. Take my word.
Ni mapema mno kui rule-out CCM, miaka mitatu CCM inaweza kujijenga upya na kuchukuwa majimbo yote Simiyu. Take my word.
Ndugu yangu ngaranumbe kusema CCM itaangushwa 2015 si kuwa ndiyo umekuwa mpinzani, au kusema Peoples power siyo ndiyo umekuwa mpinzani. You can't be certain kuwa CCM lazima itaangushwa kumbuka wao ni chama kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 30 kina mipango yake. Kitu kinachotakiwa ni upinzani kujipanga, tutakuwa tunajidanganya tukisema lazima CCM itaangushwa 2015, ukweli ndio huo ingawa unasema unaudhika ukiambiwa hivyo.Mnaniudhi sana mnaotoa mchango kwa kusema eti CCM isipoangalia itaangushwa 2015, je huyu ni CCM au Upinzani? kiswahili bwana! ISIPO ina maana hampendi ipoteze ila kwa ushabiki tu mnapenda ipoteze.
Wewe ni ndumilakuwili, sema CCM itaangushwa 2015 na usitoe sms za ndumilakuwili, isipoangalia itapoteza(what!), badilika. Peplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz Power
Wasukuma walisha ikataa CCM siku nyingi ni vyama vya upinzani havija wekeza vya kutosha hasa huko bariadi kwa chenge....Niko kikazi hapa maswa na meatu kwa takriban wiki mbili sasa.
hukumu ya kupinga matokeo yaubunge wa meatu ilipotoka nimeshuhudia mwamko mpya wa siasa ktk mkoa huu mpya.
Wasukuma ( wanatunzu) hawataki kabisa kusikia CCM .
Katika Mkoa huu CCm ina wabunge wawili tu kamani na Chenge na hawa 2015 kwa mujibu wa utafiti wangu na mahojiano na watu wa rika zote (wawakilishi) wake , waume ,wazee na vijana hawa ndo mwisho wa ubunge wao
watu wamechoka, naona anguko kubwa la kutisha linakuja kuttetemesha chama tawala majira na nyakati zimetimia.
Mi nackia uchungu.....
Wewe mwenyewe au unamwakilisha mtu? sogea karibu na Clinic uliyokuwa una-attend...akitoka mwite chichiemu....lol.Mi nackia uchungu.....
tukutumie ambulance?
Ndugu yangu ngaranumbe kusema CCM itaangushwa 2015 si kuwa ndiyo umekuwa mpinzani, au kusema Peoples power siyo ndiyo umekuwa mpinzani. You can't be certain kuwa CCM lazima itaangushwa kumbuka wao ni chama kipo madarakani kwa zaidi ya miaka 30 kina mipango yake. Kitu kinachotakiwa ni upinzani kujipanga, tutakuwa tunajidanganya tukisema lazima CCM itaangushwa 2015, ukweli ndio huo ingawa unasema unaudhika ukiambiwa hivyo.
Wee Gamba, Chama chenu cha Mafisadi kimeshindwa kujijenga miaka yote 35 ya uhai wake kije kijijenge miaka 2 na nusu iliyobaki? Au unafikiria kimasaburi? Kweli kaidi hafaidi hadi siku ya Idd!
CCM ilishakufaga zamani