Kidogo chetu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,432
- 993
Mi nackia uchungu.....
Wahakikishe wanakwenda kujiandikisha ktk daftari la NEC. Wasisahau kushiriki ktk kampeni. Wasipuuze kwenda kupiga na pia kulinda kura zao. Hapo watakuwa wameiua na kuitokomeza kabisa CCM.
Wape salaam za ukombozi on my very behalf!
Niko kikazi hapa maswa na meatu kwa takriban wiki mbili sasa.
hukumu ya kupinga matokeo yaubunge wa meatu ilipotoka nimeshuhudia mwamko mpya wa siasa ktk mkoa huu mpya.
Wasukuma ( wanatunzu) hawataki kabisa kusikia CCM .
Katika Mkoa huu CCm ina wabunge wawili tu kamani na Chenge na hawa 2015 kwa mujibu wa utafiti wangu na mahojiano na watu wa rika zote (wawakilishi) wake , waume ,wazee na vijana hawa ndo mwisho wa ubunge wao
watu wamechoka, naona anguko kubwa la kutisha linakuja kuttetemesha chama tawala majira na nyakati zimetimia.
Meatu ina majimbo mawili jimbo la Meatu linaongozwa na Mhe. OPUKUKWA (Chadema) na jimbo la kisesa linaongozwa na mhe. Mpina (CCM) Mkoa wa simiyu una majimbo 7 manne yako upinzani matatu yako ccm,2015 Mhe Mpina na Ccm jimbo la kisesa wanapigwa chini!
Wee Gamba, Chama chenu cha Mafisadi kimeshindwa kujijenga miaka yote 35 ya uhai wake kije kijijenge miaka 2 na nusu iliyobaki? Au unafikiria kimasaburi? Kweli kaidi hafaidi hadi siku ya Idd!Ni mapema mno kui rule-out CCM, miaka mitatu CCM inaweza kujijenga upya na kuchukuwa majimbo yote Simiyu. Take my word.