Radio free, radio maria, clouds fm, jogoo fm, tbc hzo ni tano rekebisha hapo uliposema hazizidi nne.
Tbc ndiyo majanga kabisa mkuu,.
Tbc Songea unayoizungumzia inasikika mara chache afadhali ungesema Clouds ambayo ni kichaka cha CCM cha kuwapumbaza!
Radio free, radio maria, clouds fm, jogoo fm, tbc hizo ni tano rekebisha hapo uliposema hazizidi nne. Ila ktk magazeti nakubaliana na wewe kwa asilimia 100, gazet la jana linasomwa leo, tatzo ni mbali kutoka darslam na hakunaga fastjet.
we unapendekeza radio gani nzuri
Badilisha kauli yako.Magaazeti ya maana tunasoma siku hiyo hiyo.
Kama mwananchi,Raia mwema na mwanaspoti.
Hata moro wana radio na tv kibao ila nao ni CCM damu damu.
gazeti la siku hiyo unalisoma wewe unayepata access ya internet jaribu kuwafikiria wale wasiyokuwa nayo!
Habari wana-JF!!
Bado nipo mkoa wa Ruvuma hapa Songea na hawa rafiki zangu Wangoni waliojaa ukarimu wa hali ya Juu.
Baadhi ya mambo yanayowarudisha nyuma kimaendeleo ni ukosefu wa taarifa, nikimaanisha upashaji wa habari ni hafifu sana kwa huu mkoa wa Ruvuma sijajua hizi ni hila za CCM kuendelea kuukandamiza mkoa huu wasijitambue maana baadhi ya mikoa michache inayowaunga mkono CCCM kwa asilimia kubwa ni hawa ndugu zetu kutoka mkoa huu wa Ruvuma.
Radio ni chache hazizidi hata nne huku moja ikiwa ni ya mkoa huu na usikikaji wa vyombo hivi siyo mzuri kwa mawasiliano mara kwa mara yanapotea, na kuhusu magezati huku hayafiki kwa wakati na watu hawana hata muda wa kuyasoma.
Wana Ruvuma huu ni wakati wenu wa kuamka kutoka usingizini ili muanzishe vyombo vyenu vya kupashana habariza uhakika na mjue ni nini kinaendelea katika nchi yenu, CCM wamewashika masikio msikubali washike hadi akili zenu!
Nawasilisha,..
Radio free, radio maria, clouds fm, jogoo fm, tbc hizo ni tano rekebisha hapo uliposema hazizidi nne. Ila ktk magazeti nakubaliana na wewe kwa asilimia 100, gazet la jana linasomwa leo, tatzo ni mbali kutoka darslam na hakunaga fastjet.
Nitarudi kuendelea na harakati na nakuahidi ni sisi vijana ndo tutaibadili songea,mbinga,nyasa,namtumbo na kusini yote kwa ujumla na nakuahidi tutabadili....
Badilisha kauli yako.Magaazeti ya maana tunasoma siku hiyo hiyo.
Kama mwananchi,Raia mwema na mwanaspoti.
Hata moro wana radio na tv kibao ila nao ni CCM damu damu.
nasikitika kuwa hata ujumbe huu hawatausoma.
Hizo radio one na East Africa radio wanazitafutia wapi maana umesema tuzitafute so Ingependeza utuoneshe sehemu za kwenda kuzitafuta ili na sisi tukazitafute ili tupate habari zisizokuwa na upendeleo.