Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Rukwa. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Rukwa una jumla ya Majimbo 5 ya kiuchaguzi, Majimbo hayo ni:
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > PreGE2025 - Rukwa: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

- Nkasi Kaskazini
- Nkasi Kusini
- Sumbawanga Mjini
- Kalambo
- Kwela