Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Pwani una jumla ya majimbo ya uchaguzi (09) ambayo ni
Updates (Walioshinda Ubunge Mkoa wa Pwani)
CCM imeshinda majimbo 9 ya uchaguzi.
Majimbo yote ni kama Ifuatavyo;

Jimbo la Bagamoyo
Jimbo la Chalinze
Jimbo la Kibaha Vijijini
Jimbo la Kibaha Mjini
Jimbo la Kisarawe
Jimbo la Mkuranga
Jimbo la Rufiji
Jimbo la Mafia
Jimbo la Kibiti
Updates (Walioshinda Ubunge Mkoa wa Pwani)
CCM imeshinda majimbo 9 ya uchaguzi.
Majimbo yote ni kama Ifuatavyo;
- Jimbo la Bagamoyo - Subira Khamis Mgalu
- Jimbo la Chalinze - Ridhiwani Jakaya Kikwete
- Jimbo la Kibaha Vijijini - Hamoud Abuu Jumaa
- Jimbo la Kibaha Mjini - Silvestry Francis Koka
- Jimbo la Kisarawe - Dkt. Seleman Said Jafo
- Jimbo la Mkuranga - Abdallah Hamis Ulega
- Jimbo la Rufiji - Mohamed Omary Mchengerwa
- Jimbo la Mafia - Omari Juma Kipanga
- Jimbo la Kibiti - Amina Mussa Mkumba