Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka
Mkoa wa Mwanza una jumla ya majimbo 9 ya uchaguzi
Updates (Walioshinda Ubunge Mkoa wa Mwanza)
CCM imeshinda majimbo yote kama ifuatavyo
John Nzilanyingi (Nyamagana)
Kafiti William (Ilemela)
Eric Shigongo (Buchosa)
Hamis Tabasam (Sengerema)
Dk Sweetbert Mkama (Ukerewe)
Boniventura Kiswaga (Magu)
Cosmas Bulala (Kwimba)
Silvery Luboja (Misungwi)
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > GE2025 - Mwanza: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

- Jimbo la Nyamagana
- Jimbo la Ilemela
- Jimbo la Magu
- Jimbo la Misungwi
- Jimbo la Kwimba
- Jimbo la Sengerema
- Jimbo la Buchosa
- Jimbo la Ukerewe
- Jimbo la Sumve