Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Mtwara una una jumla ya majimbo ya uchaguzi (10) ambayo ni
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > PreGE2025 - Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Updates (Walioshinda Ubunge Mkoa wa Mtwara)
CCM imeshinda majimbo 10 ya uchaguzi.
Majimbo yote ni kama Ifuatavyo;

Jimbo la Mtwara Vijijini
Jimbo la Nanyamba
Jimbo la Mtwara Mjini
Jimbo la Newala Vijijini
Jimbo la Newala Mjini
Jimbo la Ndanda
Jimbo la Lulindi
Jimbo la Masasi Mjini
Jimbo la Tandahimba
Jimbo la Nanyumbu
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > PreGE2025 - Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Updates (Walioshinda Ubunge Mkoa wa Mtwara)
CCM imeshinda majimbo 10 ya uchaguzi.
Majimbo yote ni kama Ifuatavyo;
- Jimbo la Nanyamba - Abdallah Dadi Chikota
- Jimbo la Mtwara Mjini - Joel Arthur Nanauka
- Mtwara Vijijini - Arif Selemani Premji
- Jimbo la Newala Vijijini - Yahaya Esmail Nawanda
- Jimbo la Newala Mjini - Rashid Mohamedi Mtima
- Jimbo la Ndanda - Faraji Buriani Nandala
- Jimbo la Lulindi - Issa Ally Mchungahela
- Jimbo la Masasi Mjini - Leonard Douglas Akwilapo
- Jimbo la Tandahimba - Katani Ahmadi Katani
- Jimbo la Nanyumbu - Yahya Ally Mhata