Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,355
- 14,723
Mimi sio mwanasiasa bali ni mtumishi hapa Mbeya. Nimekuja mbeya sasa ni mwaka wa 4. Kuna jambo linaendelea mbeya na wao hawataki kulikemea.
Mkoa wa Mbeya wasipoangalia kufikia mwaka 2025 watatawaliwa na wanyakyusa. Nikupe takwimu Mbunge wa Chunya, Kyela, Rungwe na Busokelo ni Wanyakyusa. Mbeya Mjini, Mbalali na Mbeya vijijini si Wanyakyusa. Mwaka huu nilikutana na rafiki yangu jana Uyole akaniambia mjini wameshakaa lazima Tulia ashinde na sasa wanaangalia kati ya Mbalali na Mbeya vijijini nako wawe na mtu wao mwenye asili ya unyakyusa.
Aliniambia eti Rais amesema Tulia atakuwa Spika na 2025 ndiye atakuwa Rais. Mkakati wa kufanikisha Wanyakyusa eti unaratibiwa na wafanyabiashara wakubwa wa kinyakyusa.
Ombi langu kwa watu wa Mbeya kama mmemchoka Sugu tafuteni mtu mwingine. Tulia atawapeleka jehanamu. Hivi hamujiulizi anatoa wapi hela zote anazotoa kila siku ambazo hazifanani na mshahara wake? Hamjui kama anatumia ofisi yake vibaya kuomba mahela kwa wafanyabiashara ili kuja kuwanunua? Anaposema atakuwa Spika kwani Ndugai hagombei?
Sisi Tanga tunampenda Ummy lakini hajatuhonga ila matendo yake yanatufanya hata wapinzani tumpende.
Upinzani wa kijinga ndo unakusumbua na kukosa huekima katika maneno yakoOmbi langu kwa watu wa Mbeya kama mmemchoka Sugu tafuteni mtu mwingine.
Jee! huko Tanga [ambako nami ninaasili nako] tunachagua wabunge kutokana na ukabila? Mambo hayo kwetu hayajawahi kuwepo na hayata kuwepo kwani tumeoleana sana.Mimi sio mwanasiasa bali ni mtumishi hapa Mbeya. Nimekuja mbeya sasa ni mwaka wa 4. Kuna jambo linaendelea mbeya na wao hawataki kulikemea.
Mkoa wa Mbeya wasipoangalia kufikia mwaka 2025 watatawaliwa na wanyakyusa. Nikupe takwimu Mbunge wa Chunya, Kyela, Rungwe na Busokelo ni Wanyakyusa. Mbeya Mjini, Mbalali na Mbeya vijijini si Wanyakyusa. Mwaka huu nilikutana na rafiki yangu jana Uyole akaniambia mjini wameshakaa lazima Tulia ashinde na sasa wanaangalia kati ya Mbalali na Mbeya vijijini nako wawe na mtu wao mwenye asili ya unyakyusa.
Aliniambia eti Rais amesema Tulia atakuwa Spika na 2025 ndiye atakuwa Rais. Mkakati wa kufanikisha Wanyakyusa eti unaratibiwa na wafanyabiashara wakubwa wa kinyakyusa.
Ombi langu kwa watu wa Mbeya kama mmemchoka Sugu tafuteni mtu mwingine. Tulia atawapeleka jehanamu. Hivi hamujiulizi anatoa wapi hela zote anazotoa kila siku ambazo hazifanani na mshahara wake? Hamjui kama anatumia ofisi yake vibaya kuomba mahela kwa wafanyabiashara ili kuja kuwanunua? Anaposema atakuwa Spika kwani Ndugai hagombei?
Sisi Tanga tunampenda Ummy lakini hajatuhonga ila matendo yake yanatufanya hata wapinzani tumpende.
Hakuna ukabila wa udini hapa Tanzania kwanini nasema hivoTanzania ina Ukabila na Udini wa hali ya juu.
hasunga yupo mkoa wa songwe mkuuNatamani nitukane ila ban ndo tatizo, unakuwaje na fikra potofu za UKABILA kima wewe?, Mwalimu julius Kambarage nyerere alikataa haya mambo asee, nikisema unataka kuhatarisha amani ya nchi nitakuwa nimekosea?, kuwa makini na matamshi yako
Mh hasunga ni mnyakyusa?
Leta hoja zenye akili sio za uchonganishi
Mwalimu
Hongereni SanaSisi Tanga tunampenda Ummy lakini hajatuhonga ila matendo yake yanatufanya hata wapinzani tumpende.
Kiukweli wanyakyusa ni wabaguzi na wapenda kuwa juu, ukienda Rungwe na Kyela huwezi kuta kiongozi wa kabila jingine tofauti na wanyakyusa, ila wao wametapakaa kila maeneo ya mkoa wa mbeya na mkoa mpya wa SongweSiasa za Wanyakyusa kutaka kutawala makabila mengine ndio ilisababisha Mkoa ukagawanywa.
Sugu ni mkinga na kiukweli mbeya mjini kuna wakinga wengi sanaSwali juu ya swali? It won't work.
Nimekuuliza maana insinuation yako ni kwamba idadi ya watu wa kabila fulani ndiyo inaamua nani awe Mbunge.
Sugu kabila gani? Kabila lake ni wengi kiasi hicho Mbeya?
Kiukweli wanyakyusa ni wabaguzi na wapenda kuwa juu, ukienda Rungwe na Kyela huwezi kuta kiongozi wa kabila jingine tofauti na wanyakyusa, ila wao wametapakaa kila maeneo ya mkoa wa mbeya na mkoa mpya wa Songwe
Si wengi kiasi hicho.Sugu ni mkinga na kiukweli mbeya mjini kuna wakinga wengi sana
[emoji1787][emoji1787]Hapo mara nyingi huwa ziki draw tunafurahia1)Mbeya city vs Prison
2) Mbeya kwanza vs Ihefu.
Malafyale derbies