Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mbeya. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Mbeya una jumla ya Majimbo 8 ya kiuchaguzi, Majimbo hayo ni:
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > PreGE2025 - Mbeya: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

| # | Jimbo | Mbunge | Chama |
|---|
| 1 | Uyole | Dkt. Tulia Ackson Mwansasu | CCM |
| 2 | Mbeya Mjini | Patrick Adkin Mwalunenge | CCM |
| 3 | Kyela | Baraka Ulimboka Mwamengo | CCM |
| 4 | Rungwe | Anthony Albert Mwantona | CCM |
| 5 | Mbarali | Bahati Keneth Ndingo | CCM |
| 6 | Mbeya Vijijini | Patali Shida Patali | CCM |
| 7 | Lupa | Masache Njelu Kasaka | CCM |
| 8 | Busokelo | Lutengano George Mwalwiba | CCM |
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > PreGE2025 - Mbeya: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025