TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,268
- 1,611
Uchawi Mara?Naskia huko kumefungwa mitambo ya THAAD ya kuzuia maendeleo....
Huko Mara kuna visa vya kutisha sana.... Acheni kwanza UCHAWI na mfanye kazi maendeleo yapo..
Msisahau kulipa kodi TRA na mtumie machine za EFD... Kwa maendeleo ya Mara
Mkoa wa Mara unao wabunge wa Upinzani takribani 4 wa kuchaguliwaNdo dawa wa wasaliti, yaani mkawapiga chini wagombea wote wa ukawa mkidhini mtakuja kugaiwa maziwa .
Hahahaha pambaneni na hali zenu
Maendeleo ya mtu huletwa na mtu mwenyewe. Tatizo kubwa la mkoa wa mara wakaaji wake hawajitumi sana kufanya kazi especially wajita. Hata ukifanya malinganisho utagundua wakurya wana maendeleo, lakini wajita wamechoka sana kimaendeleo.Ni kweli kwamba baba wa Taifa Hayati Mwl Julius K. Nyerere alikuwa ni mzaliwa wa mkoa huu na ambaye ndiye alikuwa mwasisi mkuu wa TANU na hatimaye CCM. Licha ya hiyo naweza sema kwamba mkoa huu umesaulika sana na katika shughuli za maendeleo ya jamii. Mkoa unakabiliwa na miundombinu mibovu, huduma mbovu za maji, elimu na afya.
Swali langu ni Je mkoa huu umewakosea nini watawala wote waliopita na wa sasa ndani ya serikali ya CCM??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhhhh, umenigusa maana huko ndo nyumbani. Anyway, acha tuone miaka 5 haijaisha.Mkoa wa Mara utajengwa na WanaMara wenyewe, Acha kulalamika!
Usichukie thread za mshikaji kama ni ukweli ngoja usemwe mbn nyie watu hamtaki serikali yenu igusweWewe nae hauna lolote na thread zako za kijinga......NI CHUKI TU ULIZO NAZO JUU YA SERIKALI HII
Ni kweli kwamba baba wa Taifa Hayati Mwl Julius K. Nyerere alikuwa ni mzaliwa wa mkoa huu na ambaye ndiye alikuwa mwasisi mkuu wa TANU na hatimaye CCM. Licha ya hiyo naweza sema kwamba mkoa huu umesaulika sana na katika shughuli za maendeleo ya jamii. Mkoa unakabiliwa na miundombinu mibovu, huduma mbovu za maji, elimu na afya.
Swali langu ni Je mkoa huu umewakosea nini watawala wote waliopita na wa sasa ndani ya serikali ya CCM??
Sent using Jamii Forums mobile app