Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Lindi una jumla ya majimbo ya uchaguzi (08) ambayo ni
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > PreGE2025 - Lindi: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Updates (Walioshinda Ubunge Mkoa wa Lindi)
CCM imeshinda majimbo 8 ya uchaguzi.
Majimbo yote ni kama Ifuatavyo;

Jimbo la Kilwa Kusini
Jimbo la Kilwa Kaskazini
Jimbo la Mtama
Jimbo la Lindi Mjini
Jimbo la Mchinga
Jimbo la Nachingwea
Jimbo la Liwale
Jimbo la Ruangwa
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > PreGE2025 - Lindi: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Updates (Walioshinda Ubunge Mkoa wa Lindi)
CCM imeshinda majimbo 8 ya uchaguzi.
Majimbo yote ni kama Ifuatavyo;
- Jimbo la Kilwa Kusini - Hasnain Gulamabbas Dewji
- Jimbo la Kilwa Kaskazini - Kinjekitile Ngombale Mwiru
- Jimbo la Mtama - Nape Mosses Nnauye
- Jimbo la Lindi Mjini - Mohamed Mussa Utaly
- Jimbo la Mchinga - Salma Rashidi Kikwete
- Jimbo la Nachingwea - Fadhili Ally Liwaka
- Jimbo la Liwale - Eng. Mshamu Ali Munde
- Jimbo la Ruangwa - Kaspar Kaspar Mmuya