Mkoa wa Katavi kutoa rais 2015

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,209
Reaction score
39,678
Kwa mara ya kwanza toka kuumbwa kwa ulimwengu huu. Mkoa wa Katavi unatarajia kutoa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Hili ni jambo jema na la kutia moyo kwa wana Katavi wote hivyo mnaombwa tukutane pale MSIMBAZI CENTRE tarehe 28.06.2015 (JUMAPILI) kuanzia saa 9 mchana kumuunga mkono Mwana Katavi mwenzetu. Kwa Mawasiliano zaidi wasiliana na Mwenyekiti wa Maandalizi 0719116360.KUFIKA KWAKO MAFANIKIO YA SHUGHULI HII NYETI
 
Ukabila, ubaguzi, uzandiki ........
. Umeanza.
Watanzania hatutaki babu!!!! Akafuge nyuki huyooooo...
 

Nitakuwepo:Team Pinda
 

Rais wa wafuga nyuki Katavi.
 
Ndio ni mleta maendeleo ndo maana anakaribu kufikiri miradi ya walala hoi
 
aaaah!!! aliongoza jopo la uchakachuaji sumbawanga!!! tena achakachue!! mmm!!! hapana.
 
Mtakaa sana kusubiri Pinda kuingia ikulu..

Urais hata huyu eti atauweza..ajabu.
 

Ubaguzi mkubwa sana. Kwa aina hii ya ubaguzi mtalipasua Taifa hili kwa u..j.nga wenu.....
 
Mtachonga sana kisa KATAVI kutoa Mgombea Urais? Ukweli utabaki pale pale kuwa safari hi tumechoshwa na Watu wa KASKAZINI sasa ni zamu ya ukanda wa Nyanda za Juu kusini (KATAVI) hata Pengo anajua hilo. Mtasubiri sana nyie Wa kaskazini
 
Akizidiwaaga aliaaga huyo Mh AAA!™hatumtaki kilaza,kilizi kulialia tu
 
huku ni kulipasua taifa!! na wa KASKAZINI tukutan kumu unga mkono lowasa na wa KATI wakampe nyalandu Hii ni DHAMBI niTATIZO weka mbali na watoto ni SUMU
 
Mtachonga sana kisa KATAVI kutoa Mgombea Urais? Ukweli utabaki pale pale kuwa safari hi tumechoshwa na Watu wa KASKAZINI sasa ni zamu ya ukanda wa Nyanda za Juu kusini (KATAVI) hata Pengo anajua hilo. Mtasubiri sana nyie Wa kaskazini

Kwan wangap wametoka kaskazn?? au una bifu na sisi!!! acha UBAGUZI Hiyo ni DHAMBI
 
Mtatoa Rais wa wafuga Nyuki
 
jamani tumefikia hapa watanzania? CCm watupe kiongozi bora hata kama atatoka LINDI kwa mfano mhe. Membe ama mkoa wa mara Mhe. Wassira au Zanzibar Dr. Gharib Bilal hawa ni viongozi tunaowajua utendaji wao maana tumewaona kwa takribani muongo (decade) so tuna uhakika nao
 
Duh, na sisi wanaruvuma tukutane lini? Kumbe urais unatolewa kwa mikoa badala ya sifa? Je hii tanzania tunayoipigania kweli itapatikana kwa mtindo huu?
 

Kheeee???kumbe kunawatu wanaona membe anafaa kuwa rais...kweli mkwere kaharibu hii taasisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…