The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Unaruka ruka tu lakini bado huko kusini mnasaidiwa na migodi mfano Chunya huko pamoja na utalii kama ilivyo kaskaziniHii dhana Yako Iko sawa kabisa Kwa muktadha wa Mikoa ambayo Ina migodi mikubwa kama Shinyanga,Geita na Mara.
Hata hivyo Mkoa kama Kagera una Hali ya hewa nzuri Kuliko Mikoa Mingi Kwa nini Watu wake wasijihusishe Kwa kilimo kama Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ambayo Haina Cha migodi Wala uwekezaji wowote wa Serikali lakini Iko Juu kwenye list Kwa kazi za Kilimo tuu.
Kwa hiyo hakuna excuses hapa,nyie ni wavuvi mdomo umezidi.
Mwisho kabisa Serikalini iwe na formula ya kugawa rasilimali za Taifa Kwa usawa,hii tabia ya kujenga Dar,Dom,Arusha na Mwanza pekee Kwa pesa za Mikoa mingine ikome mara Moja.Mimi Huwa naandika mada za kupinga hili ila Huwa mnaniona mjinga.
Acha kutudanganya kila mtu anaenda na anapita shinyanga! nyamba mbovu haziwezi kuisha zote! Ila ukianzia Tinde,Kagongwa,Isaka,Kahama Msalala ,Kakola nk wewe umeona nyumba za tembe? Acha uongo kaka! Uchumi wa wilaya kama Kahama wanauumiliki wengi ni wafanya biashara na wachimbaj wadogo ambao kwa sehemu kubwa ni Wasukuma na wahamiaji kiasi!Shinyanga hii ambayo nyumba za tembe zimetapakaa au kuna Shinyanga nyingine??
Wewe toa ujinga wako hapa,Mbeya Kuna migodi gani ya maana? Kama Chunya Kuna migodi Kwa nini haiwezi kama Kahama au Geita?Unaruka ruka tu lakini bado huko kusini mnasaidiwa na migodi mfano Chunya huko pamoja na utalii kama ilivyo kaskazini
Umewahi kusikia kagera imepelekewa mahindi ya msaada ?Hii dhana Yako Iko sawa kabisa Kwa muktadha wa Mikoa ambayo Ina migodi mikubwa kama Shinyanga,Geita na Mara.
Hata hivyo Mkoa kama Kagera una Hali ya hewa nzuri Kuliko Mikoa Mingi Kwa nini Watu wake wasijihusishe Kwa kilimo kama Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ambayo Haina Cha migodi Wala uwekezaji wowote wa Serikali lakini Iko Juu kwenye list Kwa kazi za Kilimo tuu.
Kwa hiyo hakuna excuses hapa,nyie ni wavuvi mdomo umezidi.
Mwisho kabisa Serikalini iwe na formula ya kugawa rasilimali za Taifa Kwa usawa,hii tabia ya kujenga Dar,Dom,Arusha na Mwanza pekee Kwa pesa za Mikoa mingine ikome mara Moja.Mimi Huwa naandika mada za kupinga hili ila Huwa mnaniona mjinga.
Mnazalisha Kwa Ajili ya kujikimu njaa au biashara?Umewahi kusikia kagera imepelekewa mahindi ya msaada ?
[emoji1787][emoji1787] Punguza hasira kijana kumbe umekubali watu wa Kagera wana ela hadi wamejenga nyumba mpaka unaona wivuWewe toa ujinga wako hapa,Mbeya Kuna migodi gani ya maana? Kama Chunya Kuna migodi Kwa nini haiwezi kama Kahama au Geita?
Chunya Ina wachimbaji wadogo wadogo ,Utalii gani ulioko Nyanda za Juu? Tuna Hifadhi ila hakuna mtu anahangaika kuuweka sawa.
Nyie ni mavivu na domo domo sana mnataka color jobs matokeo yake ndio hayo.
Hata hivyo vijumba mumejenga ni wale wako Nje ya Mkoa ila havina impacts yeyote kwenye uzalishaji.
Kama hamna biashara meli zinakuja kufanya nini au barabara zinajengwa za nini, punguza mihemuko basiMnazalisha Kwa Ajili ya kujikimu njaa au biashara?
Mkuu sema tu wahaya huwa hawakumbuki kwao lakini jamaa kiuchumi wapo vizuriSijui hyo mikoa mingine but stop comparing njombe with bukoba in terms of all kind of development except hyo elimu yao
Kwa nini nyie ni maskini wa kutupwa?Kama hamna biashara meli zinakuja kufanya nini au barabara zinajengwa za nini, punguza mihemuko basi
Hapo chagua wewe,unajua ushirombo wanauza Mchele Rwanda na uganda,ila kagera kuhuza kahawa Uganda haitakiwiMnazalisha Kwa Ajili ya kujikimu njaa au biashara?
Umeishiwa 😂😂Sawa dada angu umeshinda
Kwa akili hizo za kindezi mtaishia kuwa mkiani mnanuka umaskiniHapo chagua wewe,unajua ushirombo wanauza Mchele Rwanda na uganda,ila kagera kuhuza kahawa Uganda haitakiwi
Kwa nini na nyie mnahesabu ela za makampuni kama zenu wakati mifukoni mmechoka???Kwa nini nyie ni maskini wa kutupwa?
Toa ushauri zao la biashara ni kahawa haitakiwi kuuza nje ya mipaka, ndizi bukoba zilipatwa mnyauko,toa njia mbadala mtaalam wa uchumiKwa akili hizo za kindezi mtaishia kuwa mkiani mnanuka umaskini
Mwambie huyo kama anasingizia Migodi mbona kuna wenye migodi hawana hali ya hewa kama ya kwao kwa ajili ya kilimo mbona wamewazidi! Haya majitu ni mazembe na majuaji!Wewe toa ujinga wako hapa,Mbeya Kuna migodi gani ya maana? Kama Chunya Kuna migodi Kwa nini haiwezi kama Kahama au Geita?
Chunya Ina wachimbaji wadogo wadogo ,Utalii gani ulioko Nyanda za Juu? Tuna Hifadhi ila hakuna mtu anahangaika kuuweka sawa.
Nyie ni mavivu na domo domo sana mnataka color jobs matokeo yake ndio hayo.
Hata hivyo vijumba mumejenga ni wale wako Nje ya Mkoa ila havina impacts yeyote kwenye uzalishaji.
Kwa nini makampuni hayaji kwenu? Nyanda za Juu Kusini Kuna makampuni ya Wazawa unadhani ni Shinyanga kule? Au Geita Kwa mzungu?Kwa nini na nyie mnahesabu ela za makampuni kama zenu wakati mifukoni mmechoka???
Wapi mlizuiwa kuuza Nje ya mipaka? Na kwanj Kuzuia kuuza Nje ya mipaka ndio kunazuia pesa? Mbona Kusini wanauza korosho stakabadhi ghalani na pesa wanapata?Toa ushauri zao la biashara ni kahawa haitakiwi kuuza nje ya mipaka, ndizi bukoba zilipatwa mnyauko,toa njia mbadala mtaalam wa uchumi
Mtaani kwangu wahaya ndio wanaongoza kwa umaskini.Mleta mada hujawahi kutembea! Ulishawahi kwenda na kuona maisha ya watu wa shinyanga ndani ndani au hata viunga vya mji wa shinyanga? Nenda utaniletea mrejesho! Makusanyo ya kodi (TRA) ya shinyanga yanatokana na wingi wa kodi ya migodi. Hela ya migodi haiingii mikononi mwa wananchi inaenda mojakwamkoja katika kapu la serikalini na inakwenda kujenga miundombinu katika mikoa yenye ushawishi wa utashi wa kisiasa na kuacha hali ya maisha ya watu wa shinyanga wakiwa fukara! Wakileta takwimu wanasema shinyanga hiko juu lakini angalia wananchi wake hoi taabani! Mkoa wa kagera tangu henzi za mwalimu serikali haijawahi kuwekeza! Sasa itachuma mahali ambapo hawajawekeza? Wahaya walijitahidi na wanajitahidi kadri ya uwezo wao kutumia kidogo walichonacho kusapoti watu wao! Kwataarifa yako hicho kidogo kinachoonekana serikali inakipata kinatokana na shughuri za moja kwa moja za wanakagera sio makampuni au taasisi kubwa zinazohodhi uchumi na kuwaacha wananchi fukara! Nikuulize tena swali hapa jukwaani! Kila mtu aangalie mtaani kwake ni wahaya wangapi masikini? Wahaya ni kabila lililojuu katika hali bora ya maisha na wanakimbizana na wachaga!
Toa Njombe hapo mkuu.Nimewahi kufika Kagera mwaka jana, lakini nitakuwa mtu wa mwisho kuamini Kagera inazidiwa na Singida, Njombe, Mtwara, Lindi, Katavi n.k