Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka
Mkoa wa Geita una jumla ya majimbo 7 ya uchaguzi:
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > GE2025 - Geita: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

- Jimbo la Geita Vijijini
- Jimbo la Busanda
- Jimbo la Geita Mjini
- Jimbo la Nyang'hwale
- Jimbo la Mbogwe
- Jimbo la Bukombe
- Jimbo la Chato