Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dodoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Dodoma una jumla ya Majimbo 10 ya kiuchaguzi yaliyogawanyika katika wilaya 8, Majimbo hayo ni:

- Kondoa
- Kondoa Mjini
- Mpwapwa
- Kibakwe
- Kongwa
- Chamwino
- Mvumi
- Dodoma Mjini
- Bahi
- Chemba
- Bahi – Dodoma – Kenneth Mollo – CCM
- Chamwino – Dodoma – Deogratius John Ndejembi – CCM
- Mvumi – Dodoma – Livingston Lusinde – CCM
- Chemba – Dodoma – Kunti Yusuph Majala – CCM
- Dodoma Mjini – Dodoma – Paschal Inyasa Chinyele – CCM
- Mtumba – Dodoma – Anthony Peter Mavunde – CCM
- Kondoa Vijijini – Dodoma – Ashatu Kachwamba Kijaji – CCM
- Kondoa Mjini – Dodoma – Mariam Ditopile Mzuzuri – CCM
- Mpwapwa – Dodoma – George Matany Malima – CCM