Mkoa wa Arusha hatuna deni na mama

Kenge wa Zero Brain ......
 
C
CHAI
 
Kiukweli lami zinazojengwa Arusha zikiisha, Arusha itakuwa next level.

Usisahau hospitali, masoko, viwanja vya mpira vya mazoezi (sio AFCON), mashule, plus Ile gorofa 10/15 manispaaa/Jiji

Arusha inabadilika kwa Kasi saana
 
🤣🤣Problem huelewi hata kilichoandikwa, means low IQ
Hicho kiingereza chako cha juhudi binafsi hakieleweki. Jitahidi kuangalia CNN, Skynews, BBC & Al Jazeera. Pia acha kutazama movies zilizotafsiriwa kiswahili.
 
Hicho kiingereza chako cha juhudi binafsi hakieleweki. Jitahidi kuangalia CNN, Skynews, BBC & Al Jazeera. Pia acha kutazama movies zilizotafsiriwa kiswahili.
You wish, kanywe chai kwanza plus toka hapo kwenye vijiwe vya kahawa kafanye kazi.
 
Hongereni sana, Chadomo hawapendagi kusikia mazuri kama haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…