Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 11,006 Reaction score 16,270 Aug 25, 2023 #221 Nadhani wangeanza na Morogoro maana ni mkubwa mno.
A adili2 JF-Expert Member Joined May 22, 2021 Posts 1,101 Reaction score 834 Aug 25, 2023 #222 macho_mdiliko said: One of the signs of a failed leadership. They always try to take desparate measures. Click to expand... Wanatengeneza ulaji. Huu ulikuwa ni wakari wa kupunguza mikoa.
macho_mdiliko said: One of the signs of a failed leadership. They always try to take desparate measures. Click to expand... Wanatengeneza ulaji. Huu ulikuwa ni wakari wa kupunguza mikoa.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,659 Reaction score 870,344 Aug 25, 2023 #223 johnthebaptist said: Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro. Ngoja tuone. Click to expand... Halafu wewe utakuwa RC
johnthebaptist said: Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro. Ngoja tuone. Click to expand... Halafu wewe utakuwa RC
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,635 Aug 25, 2023 Thread starter #224 Mshana Jr said: Halafu wewe utakuwa RC Click to expand... Na wewe utakuwa Mwananchi wangu 😀😀
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,143 Aug 25, 2023 #225 johnthebaptist said: Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro. Ngoja tuone. Click to expand... Hakuna haja ya kuongeza ukubwa wa serikali kwa kweli... Ni mzigo tu kwa wananchi.
johnthebaptist said: Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro. Ngoja tuone. Click to expand... Hakuna haja ya kuongeza ukubwa wa serikali kwa kweli... Ni mzigo tu kwa wananchi.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,143 Aug 25, 2023 #226 adili2 said: Wanatengeneza ulaji. Huu ulikuwa ni wakari wa kupunguza mikoa. Click to expand... Ingepunguzwa haswa. Ibakie 20 tu kwa Tanzania Bara..
adili2 said: Wanatengeneza ulaji. Huu ulikuwa ni wakari wa kupunguza mikoa. Click to expand... Ingepunguzwa haswa. Ibakie 20 tu kwa Tanzania Bara..
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,094 Reaction score 75,538 Aug 25, 2023 #227 Dawa ni utawala wa majimbo tu
Jumanne Mkota JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,011 Reaction score 1,794 Aug 25, 2023 #228 johnthebaptist said: Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro. Ngoja tuone. Click to expand... Sasa kilimanjaro wakiimega itabaki nini! Kwa hiyo kilimanjaro iishie mgagao! Mpakani mwa Mwanga na Same?
johnthebaptist said: Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro. Ngoja tuone. Click to expand... Sasa kilimanjaro wakiimega itabaki nini! Kwa hiyo kilimanjaro iishie mgagao! Mpakani mwa Mwanga na Same?
S sem2708 Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,949 Reaction score 5,159 Aug 25, 2023 #229 Jumanne Mkota said: Teh teh! Wasambaa wameitamani ndungu, kihurio na hedaru! Hamegi mtu mkoa hapa! Tutazichapa Click to expand... Hivi una nini na sisi wewe?
Jumanne Mkota said: Teh teh! Wasambaa wameitamani ndungu, kihurio na hedaru! Hamegi mtu mkoa hapa! Tutazichapa Click to expand... Hivi una nini na sisi wewe?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,659 Reaction score 870,344 Aug 25, 2023 #230 johnthebaptist said: Na wewe utakuwa Mwananchi wangu [emoji3][emoji3] Click to expand... Mganga wako Korogwe kwetu
johnthebaptist said: Na wewe utakuwa Mwananchi wangu [emoji3][emoji3] Click to expand... Mganga wako Korogwe kwetu