Mkitoka fungeni account zenu jamani

Mkitoka fungeni account zenu jamani

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,888
Loh! Nimepita hapa Ubungo int cafe

Kuna email fulani natumiaga kwa kazi za ziada sijui nimeisahau wapi
Nafungua jamaa mmoja kanitenda ajabu nimekuta in box 0
sent 0
hadi dltd 0

Sasa sijui sparms zitakuwa negative... Nashukuru Mungu nikitumiaga na cc email nyingine ndio kipoozeo changu

Muwe makini mkimaliza sign out email zenu wapendwa loh
 
SPARMS = SPAMS

Pole kwa yaliyokukuta mkuu... ila sijahudhuria hizo internet cafe muda mrefu sasa..

loh heri mkuu wangu usihudhurie

watu wamebadilika ubinadamu hamu
 
Kwa gmail ikiwa umesahau ku-log out email yako unaweza kufunga kwa simu yako zote zilizo wazi hata za internet cafe
 
Loh! Nimepita hapa Ubungo int cafe

Kuna email fulani natumiaga kwa kazi za ziada sijui nimeisahau wapi
Nafungua jamaa mmoja kanitenda ajabu nimekuta in box 0
sent 0
hadi dltd 0

Sasa sijui sparms zitakuwa negative... Nashukuru Mungu nikitumiaga na cc email nyingine ndio kipoozeo changu

Muwe makini mkimaliza sign out email zenu wapendwa loh
Nunua laptop achana na ma internet cafe bwana...mbona pombe unakunywa na wanawake unahonga unashindwa kuwa na laptop?
 
Nunua laptop achana na ma internet cafe bwana...mbona pombe unakunywa na wanawake unahonga unashindwa kuwa na laptop?

rihana nini laptop nina .....kabisa

sema nikiwa off napambana na order za watu wakiitaji nakimbilia kwenye net ya karbu

usihofu ntajitahidi ila kutembea nayo off day mbutana kiseru
 
Nimeacha kwenda cafe siku nyingi,kwani hiyo elfumbili ya saa moja naitumia kwa siku mbili na kupata 20 GB,ni mwendo wa laptop na tablet kwenye cafe kwanza kunaharibu flash na HD kwani nyingi DT zao nyingi hazijawekewa vizuia virus.
 
Back
Top Bottom