Mkisikia; Mkazi mmoja mkoani Mwanza amjeruhi vibaya mpenzi wake kwa kisu kisa wivu wa mapenzi mjue ni mimi!

Hii laana imeshaanza kukutafuna, jiandae ki-sawa sawa.

 
una roho ngumu lakini.!?

maana baada ya hilo zoezi utatafutwa na dola,wananchi wenye hasira na pia huenda ukauawa hapohapo

Pia andaa mazingira ya kutokukamatwa wala kushukiwa na abadani mambo yakienda mrama usianze kujichinjachinja kiogaoga huku unalialia..

Maandalizi:
bisu Kali jipya,gloves,mifuko ya plastic,dumping site,ndoo,maji ya kutosha,Omo,nguo za kubadili,simu,hela ya kukutosha

*Pia kabla ya zoezi tembelea wafungwa gerazani na wagonjwa kwenye hospitali ya mkoa...fika na mahakamani

*pia fikiria adhabu ya kitanzi au kifungo cha maisha;marafiki zako,wazazi wako na malengo ulokuwa nayo?

At your own risk




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ni magumu sana kwa hali ya sasa. Mungu Atusaidie na kutupa busara na uvumilivu
 
Kuna jamaa hapa ashawahi toa mkwara kama wako akayeyuka...

Na huu wako huenda ni mkwara tu, ungekuwa na hizo hasira tungekuwa tunakusoma kwenye magazeti sasa...
 
mimi ni nani hadi niingilie maamuzi yako kila la heri na mafanikio tele ya kugawana majengo ya government na my love wako
 
Kuna njia nyingi za kumuadhibu binadamu ila usidhubutu kutoa uhai wake bora umloge aandamwe na mikosi akipata mimba zotoke au asiweze kutulia na mpenzi mmoja awe ana mangamanga tu ila usitoe uhai wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…