kichenchele
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 539
- 177
Jikite kwenye point mkuu,kuto kutumia jina la ukoo ni maamuz binafsi.kinachozungumzwa ni vyet feki ama majina yaliyofojiwaKuna watu wana ongoza kwa kufoji vyeti, sikuhizi wanatumia majina mawili, la ukoo hawatumii. Mfano Janeth Mathias (la tatu la kutoka kilimanjaro linafichwa).chunguza majina ya wenyeji hawa ni mawili tu ya kizungu
Waheshimiwa mmalizapo kuwapunguza hao watumishi hewa, mimi nashauri pia mfuatilie na wale wote wanaotumia vyeti vya taaluma vya marehemu na kujipatia ajira, pamoja na vyeti vya diploma, degree na masters vya bandia na huku wakijuwa elimu hiyo hawakuipata kwa kukaa darasani.
University of Dar-es-SalamNi kweli kabisa, na Tanzania hawa wapo wengi mno. Kingine, naomba muwapitie wale wanaosoma mtandaoni katika vyuo visivyokubalika duniani na kujipatia masters au Phd katika fani zao, hawa pia tunao wengi mno. Mfano Kikwete anajiita Dr. kivipi, wakati sote tunajuwa kabisa huyu jamaa hajuwi chochote, alisomea chuo gani?
JWTZ...Polisi na walimu ndo balaa
Mkuu una akili sana wakifanya hivyo wataumbuka wengi wanao tumia cheti kimoja lakini idara tofauti.Kwanza kila mtu apate kitambulisho cha taifa. Mambo yote mengine yaunganishwe na namba ya kitambulisho. Ajira, vyeti vya shule nk. Wengi wataumbuka.
Kuna watu wana vyeti lakini matokeo "yameboreshwa" Nchi ina majipu mengi sana.
Ndo anajaribu kueleza njia waazozitumia ili wasigundulike kama wanatumia vyet fekiJikite kwenye point mkuu,kuto kutumia jina la ukoo ni maamuz binafsi.kinachozungumzwa ni vyet feki ama majina yaliyofojiwa
Hatukamatwii ng'oo, huko JPM hafikilii kukagua.Waheshimiwa mmalizapo kuwapunguza hao watumishi hewa, mimi nashauri pia mfuatilie na wale wote wanaotumia vyeti vya taaluma vya marehemu na kujipatia ajira, pamoja na vyeti vya diploma, degree na masters vya bandia na huku wakijuwa elimu hiyo hawakuipata kwa kukaa darasani.
Majeshini walimu manes hao ndo vinara vyeti fekiWaheshimiwa mmalizapo kuwapunguza hao watumishi hewa, mimi nashauri pia mfuatilie na wale wote wanaotumia vyeti vya taaluma vya marehemu na kujipatia ajira, pamoja na vyeti vya diploma, degree na masters vya bandia na huku wakijuwa elimu hiyo hawakuipata kwa kukaa darasani.