Unasali kabla ya kulala kesho unaenda kuharibu vibinti vya watu au kugonga Malaya.
Unasali kabla ya kulala kesho unasengenya watu
Unasali kabla ya kulala kesho unaingia kazini unadhulumu haki za watu Kwa kula rushwa na ufisafi
Unasali kabla ya kulala kesho yake unaingia bar unakunywa pombe
Unasali kabla ya kulala na Bado unakuwa mfuasi wa CCM unayechukizwa na watu wanaolalamikia matendo maovu yanayofanywa na vyombo vya usalama kuteka na kuua wasio na hatia
Sasa unasali Ili iweje?