KERO Responded Mkijaribu kuingia Website ya Brela (ORS) inakubali?

KERO Responded Mkijaribu kuingia Website ya Brela (ORS) inakubali?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Zemanda

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
10,651
Reaction score
22,819
Tokea juzi ninapata shida kupata access ya kuingia inanigomea si kwa simu wala computer.

Shida ni nini?

Pia soma:

 
Kwanza uwa haiko kirafiki kwenye utumiaji wake. Iko ovyo sana. It's one of the worst ORSs I've ever visited.
 
Back
Top Bottom