Kuna mmoja alimpata mdada wa 30+ kanisani. Dada amesoma masters Makerere, ofisini ni head wa department, ana nyumba mbili, Ana mabanda manne ya kuku na kila banda Lina uwezo wa kuchukua kuku 500, ana hiaice mbili za kwenda Bagamoyo.Kuna jirani angu aliolewa na mke mwenye kila kitu kajenga ananyumba na gari afu alikua na kaeneo kadg ajajenga yule jamaa. Walivo ishi kwa mda flani akaamishia na vitu vyake vyote pale. Baadae akaamua ajenge vinyumba vya wapangaji penye kaeneo kaliko kua kamebaki apo pembeni, mwisho wa Siku wakagombana wakamwambia beba tofari na mabati uondoke, jmaa alipagawa. Wanaume tutumie akili mda mwingine
😂😂😂 huyo demu atakuwa mkenya tuKuna mmoja alimpata mdada wa 30+ kanisani. Dada amesoma masters Makerere, ofisini ni head wa department, ana nyumba mbili, Ana mabanda manne ya kuku na kila banda Lina uwezo wa kuchukua kuku 500, ana hiaice mbili za kwenda Bagamoyo.
Kaka alijua amepata kitonga. Alimtamkia mimi ninataka kukuoa. Dada alilia kwa furaha. Kabla ya kuvakishwa pete, yule dada alimwambia hivi vyote ni vyangu. Nyumba zote nitapangisha mimi na wewe tukapange tuanze moja. Ukiwa kama mwanaume ninategemea utakua unachangia kodi kila mwezi.
Jeuri mwenzie kiburi.Mkishapewa, ni vyenu bila kujali location. Inakuwaa sawa na kama vile mlinunua wenyewe...
LAKINI KIAFRIKA, KUISHI ENEO MLILOPEWA NA BABA WA MKE NI DHARAU FLANI HIVI KWA MWANAUME... KATIKA HILI MWANAUME AONDOKE
Shida nyingine iliyopo kwenye mali za kupewa, HASA WANAWAKE, wanakuwaga na DHARAU sana na maneno ya kejeli kibao...
Nina mfano wa jamaa yangu flani aliowa mwanamke YATIMA lakini karithi nyumba ambayo haikuwa imeisha na wakawa wanaishi humo huku wakiinalizia. Mwanamke, kila wakikirofisha anarusha RAMBO nje huku akiutangazia uma kuwa atoke hakuja na lolote.... Mwanaume amevulia hali hiyo Kwa miaka 12, mwisho kaamua AONDOKE yeye na nguo zake tu akawaacha watoto na mradi waliouanzisha. BIDADA ANAHAHA SAA HIZI KUTAKA MUMEWE ARUDI... MUME KAPANGA NA ANAMJIBU MDADA KUWA ASUBIRI AKISHAJENGA WATARUDIANA
Hapo Ndipo Utajua Kwanini Wengi Kwenye Swala La Kujenga Wanapambana (Jeshi La Mtu Mmoja)
Ni kweli. Na wanawake hukosa pa kushitaki kama mwanaume ameondoka na kuacha kila kitu.... Kesi zinakuwaga ngumu kama kuna cha kugawana... ILA KAMA UMEACHIWA KILA KITU LAZIMA UJISIKIE VIBAYA....Jeuri mwenzie kiburi.
Unaweza kucheka huku umeng'ata meno.Unamdhalilisha halafu unataka arudi?Hata kama ni mimi sirudi hata ipigwe mbiu ya mgambo wa kijiji.Mkishapewa, ni vyenu bila kujali location. Inakuwaa sawa na kama vile mlinunua wenyewe...
LAKINI KIAFRIKA, KUISHI ENEO MLILOPEWA NA BABA WA MKE NI DHARAU FLANI HIVI KWA MWANAUME... KATIKA HILI MWANAUME AONDOKE
Shida nyingine iliyopo kwenye mali za kupewa, HASA WANAWAKE, wanakuwaga na DHARAU sana na maneno ya kejeli kibao...
Nina mfano wa jamaa yangu flani aliowa mwanamke YATIMA lakini karithi nyumba ambayo haikuwa imeisha na wakawa wanaishi humo huku wakiimalizia kuijenga Mwanamke, kila wakikirofisha anarusha RAMBO nje huku akiutangazia uma kuwa atoke hakuja na lolote.... Mwanaume amevulia hali hiyo Kwa miaka 12, mwisho kaamua AONDOKE yeye na nguo zake tu akawaacha watoto na mradi waliouanzisha. BIDADA ANAHAHA SAA HIZI KUTAKA MUMEWE ARUDI... MUME KAPANGA NA ANAMJIBU MDADA KUWA ASUBIRI AKISHAJENGA WATARUDIANA