Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 52,367
- 24,081
Hasaa wale mnaopenda kusali kizungu, maombi mengine hamjibiwi kutokana na kuomba kwenu. Unasikia mtuu dear Gadi, help m uvwxyz Gadi, please dear Gadi.
Maombi mengine mnapeleka kwenye kampuni za walinzi. Mnamaliza mnajua Mungu amewasikia, mnaanza kumlalamikia Mungu hajibu maombi kumbe wewe umejichanganya.
Jitahidini kutaja dear God, Help God, thx God, etc.
Unapanda express ya Kimara unataka ushukie Usalama – Magomeni, yaani Manzese inakuhusu hatakama hujawahi fika utashukia hapo.
Amen, ni tahadhari tu.