happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
- Thread starter
-
- #21
Weka Picha
uuuuuuuuupsi pole yako
WENGINE WANAPENDA WAVAA UCHI....
usichokipenda wewe mwenzio anapenda.....
kikubwa tafuta yule wa kuvaa unavyopenda.
Hivi kwa nini huu ugonjwa wa kuvaa nusu uchi ni maarufu huko mijini ? huku vijijini wadada wanavaa kwa heshima.
Mimi sivai hivyo... nimejaribu kuangalia jinsi ya kustopisha uvaaji huo kutokana na malalamiko ya wanaume.
Nani atakuwa anahakikisha kuwa mambo haya yote wanaume hawayafanyi?
Ww unavaaje?
Ninavaa nguo inayonistiri mwili mzima.... sivai nusu mwili.
Hutongozwi?
roho i radhi lakini mwili u dhaifu
Kwa hiyo wakiendelea na ninyi mnavaa nusu uchi?
Wanaume wasipige makelele kulalamikia uvaaji nusu.
Kwa sababu wanaume wa mjini wanapenda hivyo....
1. Kuanzia leo mwanamume yeyote asitongoze wala kumsemesha chochote mdada atakayevaa nusu uchi...
2 Usimtazame wala kumtolea mimacho mwanamke yeyote aliyevaa nusu uchi.
3 Usimsalimie wala kumwonyesha sura ya matamanio
4 usimsifie kuwa kapendeza wala uzuri wake
5 Usimpishe kiti kwenye daladala
6 Usimpe lifti kwenye gari au boda boda yako.....
7 Usimruhusu apande dala dala yako, Bajaji, wala pikipiki yako ,
8 Usimsogelee wala kumuuliza chochote.
9 Usimtamani yeyote aliyepaka mkorogo na kuwa kama papai bovu.
.....mengine jazieni wandugu
Kama hamtafanya hivi acheni kelelele ... pigeni kimywaaaaa