Mkiendelea kukaa kimya, Mungu atamsemea Rais Samia

MEA-MTWARO

Senior Member
Joined
May 15, 2013
Posts
128
Reaction score
40
NA MWL BAKARI MADAYA 0628087968

Salaam Ndugu Watanzania wenzangu*!

Naomba Leo nami niandike kidogo kuhusu watu wenye uwezo wa kusema lakini hawasemi.

Ndiyo, ninaandika hapa katika Muktadha wa kuwashangaa watu wa namna hiyo kwanini hawasemi. Hawasemi kweli ingawa kweli inadhihirika lakini wao wamekaa kimya. Kwanini?

Bila shaka wote tunakubaliana kuwa, Watu wana uwezo wa kuita Press na kuuambia umma kweli na kweli hiyo ikaaminika lakini wao wamekaa kimya. Wanamsubiri nani aseme?

Siku za hivi karibuni kumetokea manung'uniko kuhusu mfumuko wa bei nchini kwetu. Sababu ya jambo hili zinafahamika vema na Watu wenye uwezo wa kuongea na umma lakini wao wameamua kukaa kimya hawasemi chochote kwanini?

Ingelikuwa Mimi Nina access na media, ningewaambia watu Kwa takwimu Kwa kufanya comperative analysis kwamba:-

1. Wakati sisi, tunalalamika mafuta ya Kula kuuzwa Tsh 7000 Kwa lita; kule Kenya hali ipoje, kule Uganda Hali ipoje kule Rwanda, Burundi, Kongo, Sudani, Ethiopia na sehemu zingine za Afrika ambazo tunafanana au kutofautiana kidogo kiuchumi Hali ipoje Ningewaambia ukweli kuhusu Hilo. Ningewaambia ukweli kuwa licha ya sisi kulalamika mafuta yetu kuuzwa TSH 7000 lakini nchi za wenzetu bei ni kubwa zaidi yetu. Ningelitoa takwimu Kwa angalau nchi kama 20 za mfano

2. Wakati sisi, tunalalamika kuhusu Mafuta ya Diesel na Petrol kupanda bei, ningewaambia Hali ipoje katika Nchi zingine Barani Afrika. Ningegoogle tu na kupata takwimu zote.

3. Wakati sisi, tunalaumu ndizi kupanda bei Kwa hoja kwamba, ndizi hizo tunalima wenyewe na hazihusiani na mafuta kupanda bei. Mimi, ningefanya hivyo hivyo kuangalia Hali ipoje katika Nchi zingine Barani Afrika lakini pia hapa ningeuambia umma namna kupanda Kwa mafuta kunavyoweza kusababisha kupanda Kwa bei Kwa ndizi au nyanya.

Kuna mtu nilimsikia, anashangaa uhusiano wa kupanda mafuta ya Kula ambayo alizeti tunalima wenyewe.

Ingelikuwa Nina uwezo wa kuita waandishi wa habari; ningeuambia umma uhusiano uliopo kati yake. Ningeuambia Umma kwamba vifaa na components zingine zinazosababisha mafuta ya alizeti kukamuliwa vimekuwa vikinunuliwa na kusafirisha kutoka nchi za ng'ambo. Hapa, pia ningeueleza umma Hali ya uzalishaji wa alizeti msimu uliopita. Ningewaambia Hilo bila shaka ungelinielewa.

Ningelikuwa Ninaweza kuongea na umma, ningeliuambia umma namna vita za nje zinavyoweza kuathiri uchumi na siasa zetu.

Maana wengine hawaelewi uhusiano uliopo kati ya Russian-Ukranian War na mfumuko wa bei nchini.

Mimi nisingiishia tu kuwaambia wananchi kuwa uchumi umeyumba Kwa sababu ya vita vya Ukraine. Ningeliwaambia ni namna Gani vita hivyo vinasababisha mdodoro wa uchumi Duniani Tanzania in Particular.

Mimi ningelirejelea ile mada ya history Kidato Cha nne inavyoelezea namna vita ya kwanza ya Dunia ilivyosababisha GREAT ECONOMIC DEPRESSION.

Ningelisadikisha tukio Hilo na Russian-Ukranian War na namna inavyoathiri uchumi Duniani. Mi nadhani watu wangelinielewa tu.

Juzi nilimsikia mtu Fulani eti anasema watu hawamwelewi mama huku mtaani.

Ingelikuwa Nina uwezo wa kuongea na umma, ningeuambia umma ukweli.

Nisingeliishia tu kutaja makundi yanayomwelewa mama; ningeorodhesha Hadi dependants wao na wanavyoweza kunufaika na mama.

Nisingesema tu watumishi wanamkubali mama; ningeenda mbali kutaja idadi ya watumishi Tanzania na amount watakayolipwa kutokana na kupandishwa Madaraja na kuongezwa mishahara.

Ningeliwaeleza mnyororo wa fedha hizo Hadi mlaji wa Mwisho.

Ningeliwaeleza namna ambavyo hata raia wa kawaida watavyonufaika na watumishi kupandishwa Madaraja na kuongezwa mishahara.

Mimi ningelikuwa na Mengi tu ya kusema na bila shaka watu wangelielewa.

Mwisho ningeliuambia umma kuwa, Mama Samia ni Rais pekee Barani Africa aliyeshika rekodi ya kuongeza mshahara Kwa asilimia kubwa kuliko nchi yoyote Barani hapa tangu uhuru.

Ningeliwaambia hivyo Kwa kuwa takwimu ninazo za nchi zote Afrika na namna ambavyo zimekuwa zikiongeza mishahara.

Niliposikia kuwa Rais Samia aliongeza mshahara Kwa 23.3% ilibidi niingie maktaba kuona kama Kuna Rais alifikia kiwango hicho ila niligundua hakuna tangu uhuru siyo Tanzania Bali ni bara lote la Africa.

Mwisho ningeliuambia umma kuwa, kumlaumu Mama ni kumkosea sana Kwa maana Dunia yote inapitia na mifumuko ya bei kutokana na COVID-19 na Russian- Ukrainian War.

Hivyo kujenga hoja kuwa Mama haeleweki ni kumwonea tu Kwa kuwa kama ndivyo inatakiwa tujenge hoja kwamba Marais wote Duniani hawaeleweki.

Mimi ningesema Mengi. Kwa Leo naishia hapo

Wakatabahu
 
Maswali mengi mnachosha , point zero ..bila shaka we ni mwalimu
 
Sasa namba ya simu ya nini hiyo?
 
"Kimbilio la waliofeli ni ualimu." Roma Mkatoliki
 
Akili zako sawa tu na huyo Rais wako Samia, wote bure tu, hamna kitu kichwani, wananchi wanataka solution na sio kuwatajia matatizo ya nchi nyingine. Kwa akili zenu hizi wakati wa Corona mngetufungia na tungekufa njaa na kutiwa umaskini, nyamaza kuficha ujinga wako.
 
Swali hivi Dkt Magufuli aliwezaje kuthibiti mfumuko wa bei na upandaji holela wa vitu na wakati huo huo anajenga miundombinu. Tuambie wewe Mwl Kilaza Dkt Magufuli aliwezaje kutujengea ujasiri wa kutokuogopa COVID-19 wakati jitani zetu wanajifungia na matokeo and yake sisi tukajikuta uchumi wetu unakua na chakula cha kutosha ambacho Mama Juzi kaja kafungulia kimeuzwa chote nje na sasa njaa inakuja
 
NA MWL BAKARI MADAYA 0628087968

Salaam Ndugu Watanzania wenzangu*!

Naomba Leo nami niandike kidogo kuhusu watu wenye uwezo wa kusema lakini hawasemi.

Ndiyo, ninaandika hapa katika Muktadha wa kuwashangaa watu wa namna hiyo kwanini hawasemi. Hawasemi kweli ingawa kweli inadhihirika lakini wao wamekaa kimya. Kwanini?

Bila shaka wote tunakubaliana kuwa, Watu wana uwezo wa kuita Press na kuuambia umma kweli na kweli hiyo ikaaminika lakini wao wamekaa kimya. Wanamsubiri nani aseme?

Siku za hivi karibuni kumetokea manung'uniko kuhusu mfumuko wa bei nchini kwetu. Sababu ya jambo hili zinafahamika vema na Watu wenye uwezo wa kuongea na umma lakini wao wameamua kukaa kimya hawasemi chochote kwanini?

Ingelikuwa Mimi Nina access na media, ningewaambia watu Kwa takwimu Kwa kufanya comperative analysis kwamba:-

1. Wakati sisi, tunalalamika mafuta ya Kula kuuzwa Tsh 7000 Kwa lita; kule Kenya hali ipoje, kule Uganda Hali ipoje kule Rwanda, Burundi, Kongo, Sudani, Ethiopia na sehemu zingine za Afrika ambazo tunafanana au kutofautiana kidogo kiuchumi Hali ipoje Ningewaambia ukweli kuhusu Hilo. Ningewaambia ukweli kuwa licha ya sisi kulalamika mafuta yetu kuuzwa TSH 7000 lakini nchi za wenzetu bei ni kubwa zaidi yetu. Ningelitoa takwimu Kwa angalau nchi kama 20 za mfano

2. Wakati sisi, tunalalamika kuhusu Mafuta ya Diesel na Petrol kupanda bei, ningewaambia Hali ipoje katika Nchi zingine Barani Afrika. Ningegoogle tu na kupata takwimu zote.

3. Wakati sisi, tunalaumu ndizi kupanda bei Kwa hoja kwamba, ndizi hizo tunalima wenyewe na hazihusiani na mafuta kupanda bei. Mimi, ningefanya hivyo hivyo kuangalia Hali ipoje katika Nchi zingine Barani Afrika lakini pia hapa ningeuambia umma namna kupanda Kwa mafuta kunavyoweza kusababisha kupanda Kwa bei Kwa ndizi au nyanya.

Kuna mtu nilimsikia, anashangaa uhusiano wa kupanda mafuta ya Kula ambayo alizeti tunalima wenyewe.

Ingelikuwa Nina uwezo wa kuita waandishi wa habari; ningeuambia umma uhusiano uliopo kati yake. Ningeuambia Umma kwamba vifaa na components zingine zinazosababisha mafuta ya alizeti kukamuliwa vimekuwa vikinunuliwa na kusafirisha kutoka nchi za ng'ambo. Hapa, pia ningeueleza umma Hali ya uzalishaji wa alizeti msimu uliopita. Ningewaambia Hilo bila shaka ungelinielewa.

Ningelikuwa Ninaweza kuongea na umma, ningeliuambia umma namna vita za nje zinavyoweza kuathiri uchumi na siasa zetu.

Maana wengine hawaelewi uhusiano uliopo kati ya Russian-Ukranian War na mfumuko wa bei nchini.

Mimi nisingiishia tu kuwaambia wananchi kuwa uchumi umeyumba Kwa sababu ya vita vya Ukraine. Ningeliwaambia ni namna Gani vita hivyo vinasababisha mdodoro wa uchumi Duniani Tanzania in Particular.

Mimi ningelirejelea ile mada ya history Kidato Cha nne inavyoelezea namna vita ya kwanza ya Dunia ilivyosababisha GREAT ECONOMIC DEPRESSION.

Ningelisadikisha tukio Hilo na Russian-Ukranian War na namna inavyoathiri uchumi Duniani. Mi nadhani watu wangelinielewa tu.

Juzi nilimsikia mtu Fulani eti anasema watu hawamwelewi mama huku mtaani.

Ingelikuwa Nina uwezo wa kuongea na umma, ningeuambia umma ukweli.

Nisingeliishia tu kutaja makundi yanayomwelewa mama; ningeorodhesha Hadi dependants wao na wanavyoweza kunufaika na mama.

Nisingesema tu watumishi wanamkubali mama; ningeenda mbali kutaja idadi ya watumishi Tanzania na amount watakayolipwa kutokana na kupandishwa Madaraja na kuongezwa mishahara.

Ningeliwaeleza mnyororo wa fedha hizo Hadi mlaji wa Mwisho.

Ningeliwaeleza namna ambavyo hata raia wa kawaida watavyonufaika na watumishi kupandishwa Madaraja na kuongezwa mishahara.

Mimi ningelikuwa na Mengi tu ya kusema na bila shaka watu wangelielewa.

Mwisho ningeliuambia umma kuwa, Mama Samia ni Rais pekee Barani Africa aliyeshika rekodi ya kuongeza mshahara Kwa asilimia kubwa kuliko nchi yoyote Barani hapa tangu uhuru.

Ningeliwaambia hivyo Kwa kuwa takwimu ninazo za nchi zote Afrika na namna ambavyo zimekuwa zikiongeza mishahara.

Niliposikia kuwa Rais Samia aliongeza mshahara Kwa 23.3% ilibidi niingie maktaba kuona kama Kuna Rais alifikia kiwango hicho ila niligundua hakuna tangu uhuru siyo Tanzania Bali ni bara lote la Africa.

Mwisho ningeliuambia umma kuwa, kumlaumu Mama ni kumkosea sana Kwa maana Dunia yote inapitia na mifumuko ya bei kutokana na COVID-19 na Russian- Ukrainian War.

Hivyo kujenga hoja kuwa Mama haeleweki ni kumwonea tu Kwa kuwa kama ndivyo inatakiwa tujenge hoja kwamba Marais wote Duniani hawaeleweki.

Mimi ningesema Mengi. Kwa Leo naishia hapo

Wakatabahu
Hao bado wako kwenye eda ya yule Mungu wao aliyekufa.,..
 
Yaan wewe ni mbulula. Kweli. Badala ya kuchukua hatua za kutatua matatizo unajilinganisha na majirani zako. Pumbafu kabisa. Halafu hii tabia ya kuniunganisha mbona mnapenda kuitumia sana. Huku hamji na solution ya kutatua tatzo. Alinza mama kulinganusha umeme kukatka USA. Akaja mafuta USA. Akaja makamba. Akaja mwigulu. Na Leo Tena unakuja. Mawazo mfu kabisa ndo unaleta hapa unatuona wote ni mazuzu. Pumbafu kabisa

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu acha dharau. Nchi hii inaongozwa na walimu. Jpm alikuwa Mwalimu, Nyerere alikuwa Mwalimu, Waziri Mkuu Majaliwa ni Mwalimu pia.
Walimu hamna akili huo ni ukweli.

Hao uliowataja ndio maana waliuacha ualimu.
 
Usituletee upurure wako hapa. Issue ni kwamba, kwa nini vitu vinapanda bei kila siku?
Hapo mwanzo wamesingizia sana Corona wakasahau kwamba, wakati wa JPM Tanzania iliingia uchumi wa kati katikati ya kipindi cha Corona.

Sasa wanasingizia vita vya Urusi na Ukraine wakisahau kwamba, vita hivi vimeanza mwaka huu 2022 na vitu kupanda bei kiholela holela vilianza mwaka jana 2021.

Je, anayesubiri nyumba ishike moto ili auzime na anayezuia moto kutokea ni yupi bora zaidi?

Msiendelee kumpaka mafuta kiongozi kwa mgongo wa chupa. Mnamharibu.

JPM alijitahidi sana kuzuia upigaji lakini sasa tumerudi kule kule, ndo maana utakuta sasa karibu kila jambo linakwenda mrama.

Kuwasogeza FISI ikulu hatutabaki salama kamwe.
 
Lakini sisi tunaishi Tanzania na siyo Uganda, Kenya au USA hivyo ulichoandika ni ujinga!
 
NA MWL BAKARI MADAYA 0628087968

Salaam Ndugu Watanzania wenzangu*!

Naomba Leo nami niandike kidogo kuhusu watu wenye uwezo wa kusema lakini hawasemi.

Ndiyo, ninaandika hapa katika Muktadha wa kuwashangaa watu wa namna hiyo kwanini hawasemi. Hawasemi kweli ingawa kweli inadhihirika lakini wao wamekaa kimya. Kwanini?

Bila shaka wote tunakubaliana kuwa, Watu wana uwezo wa kuita Press na kuuambia umma kweli na kweli hiyo ikaaminika lakini wao wamekaa kimya. Wanamsubiri nani aseme?

Siku za hivi karibuni kumetokea manung'uniko kuhusu mfumuko wa bei nchini kwetu. Sababu ya jambo hili zinafahamika vema na Watu wenye uwezo wa kuongea na umma lakini wao wameamua kukaa kimya hawasemi chochote kwanini?

Ingelikuwa Mimi Nina access na media, ningewaambia watu Kwa takwimu Kwa kufanya comperative analysis kwamba:-

1. Wakati sisi, tunalalamika mafuta ya Kula kuuzwa Tsh 7000 Kwa lita; kule Kenya hali ipoje, kule Uganda Hali ipoje kule Rwanda, Burundi, Kongo, Sudani, Ethiopia na sehemu zingine za Afrika ambazo tunafanana au kutofautiana kidogo kiuchumi Hali ipoje Ningewaambia ukweli kuhusu Hilo. Ningewaambia ukweli kuwa licha ya sisi kulalamika mafuta yetu kuuzwa TSH 7000 lakini nchi za wenzetu bei ni kubwa zaidi yetu. Ningelitoa takwimu Kwa angalau nchi kama 20 za mfano

2. Wakati sisi, tunalalamika kuhusu Mafuta ya Diesel na Petrol kupanda bei, ningewaambia Hali ipoje katika Nchi zingine Barani Afrika. Ningegoogle tu na kupata takwimu zote.

3. Wakati sisi, tunalaumu ndizi kupanda bei Kwa hoja kwamba, ndizi hizo tunalima wenyewe na hazihusiani na mafuta kupanda bei. Mimi, ningefanya hivyo hivyo kuangalia Hali ipoje katika Nchi zingine Barani Afrika lakini pia hapa ningeuambia umma namna kupanda Kwa mafuta kunavyoweza kusababisha kupanda Kwa bei Kwa ndizi au nyanya.

Kuna mtu nilimsikia, anashangaa uhusiano wa kupanda mafuta ya Kula ambayo alizeti tunalima wenyewe.

Ingelikuwa Nina uwezo wa kuita waandishi wa habari; ningeuambia umma uhusiano uliopo kati yake. Ningeuambia Umma kwamba vifaa na components zingine zinazosababisha mafuta ya alizeti kukamuliwa vimekuwa vikinunuliwa na kusafirisha kutoka nchi za ng'ambo. Hapa, pia ningeueleza umma Hali ya uzalishaji wa alizeti msimu uliopita. Ningewaambia Hilo bila shaka ungelinielewa.

Ningelikuwa Ninaweza kuongea na umma, ningeliuambia umma namna vita za nje zinavyoweza kuathiri uchumi na siasa zetu.

Maana wengine hawaelewi uhusiano uliopo kati ya Russian-Ukranian War na mfumuko wa bei nchini.

Mimi nisingiishia tu kuwaambia wananchi kuwa uchumi umeyumba Kwa sababu ya vita vya Ukraine. Ningeliwaambia ni namna Gani vita hivyo vinasababisha mdodoro wa uchumi Duniani Tanzania in Particular.

Mimi ningelirejelea ile mada ya history Kidato Cha nne inavyoelezea namna vita ya kwanza ya Dunia ilivyosababisha GREAT ECONOMIC DEPRESSION.

Ningelisadikisha tukio Hilo na Russian-Ukranian War na namna inavyoathiri uchumi Duniani. Mi nadhani watu wangelinielewa tu.

Juzi nilimsikia mtu Fulani eti anasema watu hawamwelewi mama huku mtaani.

Ingelikuwa Nina uwezo wa kuongea na umma, ningeuambia umma ukweli.

Nisingeliishia tu kutaja makundi yanayomwelewa mama; ningeorodhesha Hadi dependants wao na wanavyoweza kunufaika na mama.

Nisingesema tu watumishi wanamkubali mama; ningeenda mbali kutaja idadi ya watumishi Tanzania na amount watakayolipwa kutokana na kupandishwa Madaraja na kuongezwa mishahara.

Ningeliwaeleza mnyororo wa fedha hizo Hadi mlaji wa Mwisho.

Ningeliwaeleza namna ambavyo hata raia wa kawaida watavyonufaika na watumishi kupandishwa Madaraja na kuongezwa mishahara.

Mimi ningelikuwa na Mengi tu ya kusema na bila shaka watu wangelielewa.

Mwisho ningeliuambia umma kuwa, Mama Samia ni Rais pekee Barani Africa aliyeshika rekodi ya kuongeza mshahara Kwa asilimia kubwa kuliko nchi yoyote Barani hapa tangu uhuru.

Ningeliwaambia hivyo Kwa kuwa takwimu ninazo za nchi zote Afrika na namna ambavyo zimekuwa zikiongeza mishahara.

Niliposikia kuwa Rais Samia aliongeza mshahara Kwa 23.3% ilibidi niingie maktaba kuona kama Kuna Rais alifikia kiwango hicho ila niligundua hakuna tangu uhuru siyo Tanzania Bali ni bara lote la Africa.

Mwisho ningeliuambia umma kuwa, kumlaumu Mama ni kumkosea sana Kwa maana Dunia yote inapitia na mifumuko ya bei kutokana na COVID-19 na Russian- Ukrainian War.

Hivyo kujenga hoja kuwa Mama haeleweki ni kumwonea tu Kwa kuwa kama ndivyo inatakiwa tujenge hoja kwamba Marais wote Duniani hawaeleweki.

Mimi ningesema Mengi. Kwa Leo naishia hapo

Wakatabahu
Mi nikusaidie kwenye kupanda kwa bei ya mafuts; wakati mafuta yanapana, Rais wa Kenya alitoa ruzuku ya kupunguza makali ndio maana hawalalamiki.
 
Back
Top Bottom