Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

duuuuh. Unafurahisha Lengio. Maelezo aliyoandikiwa Mh Rais umeyapataje wewe? Nahisi hii taarifa yako ni potuvu. Tufunge hii mada sasa. Wastage of time
Hicho ni kisehemu alicho andika Raymond nyange ngoo kwenda kwa mtu anaitwa kwayu ili apelekewe raisi valeriani
 
Hebu tukuulize kitu? Taarifa hii ni ya idara ya uhamiaji au yako binafsi na hao waliokutuma. Tunatilia shaka upelelezi huo wa maafisa uhamiaji kuwa bogus na wenye mashaka makubwa. Wewe ulipataje document hizi?
Ni kufahamishe we mwanasheria kilaza wa HAKIKA lawyer chember mtu yeyote anaruhusiwa kuomba shitaka aliloshitakiwa mtu yeyote muulize Valeriani atakufahamisha.
 
Mkuu umeongea sanaa mzee kachoka mbaya,unajua kuna mtu akijifanya anakutetea kumbe anataka mambo yako yawekwe azarani.
Wanatupotezea muda hawa na data. Mzee mwenyewe anayeongelewa hana hata kumi kijiweni Pangani. Ni mlala hoi masikini babu wa watu
 
Wanatupotezea muda hawa na data. Mzee mwenyewe anayeongelewa hana hata kumi kijiweni Pangani. Ni mlala hoi masikini babu wa watu
Nimekuelewa wacha niachane nao message sent.Wakileta mdomo naweke mpka faili lao la ukoo huko Kenya.
 
Mkenya Davis Ngoo na baba yake Antony mragha ngoo ni wakenya wanaotumiwa na tajiri jonhson Muzama ambaye ni mbunge wa kenya na mfanyabiasha mkubwa wa madini ya green na Tanzanite kumiliki migodi Tanzania,Muzama ndio anawafadhili kuchimba migodi hiyo.Hawa wakenya wamejipatia mali nyingi sanaa Tanzania kwa kutorosha madini yetu,Wakenya hawa wemejipenyeza hadi kufanya kazi za kimahakama Majuzi Raymond nyange ngoo alikamatwa na Uhamiaji na kufikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya kazi bila kibali.Kampuni ya Hakika wabia wa Raymond nyange ngoo walihukumiwa kwenda jela miaka 3 au faini ya laki 5 ambazo walilipa.Davis mragha ngoo ambaye yupo chini ya uchnguzi anamiliki silaha ulivyopata kwa vitambulisho bandia hapa Tanzania.Serika ifuatilie na ipige marufuku wakenya kumiliki migodi yetu kama ambavyo wakenya hataki magari ya Tanzania ya watalii kungia kwao.pichani ni Davis Ngoo na mnunuzi wa madini kutoka Tailand na Raymond nyange ngoo akiwa ofisini Hakika na baba yao akiwa mirerani mgodi pia Raymond anaye kiri mwenyewe kuwa mkenya akiwa mgodi View attachment 975450View attachment 975451View attachment 975453

Jamani tunawafahamu hawa watu kwa muda mrefu sana porini. Ni watu wenye hofu ya Mungu na ni wapambanaji mno. Issue ya ugomvi wao ni kutokana na mawe yao kurushwa na dealer mhindi na kusababishia Mzee Anton Ngoo kesi za fitna uhamiaji na mahakamani ila mwishowe alishinda hiyo kesi mzee wa watu na kurudishiwa mgodi wake baada ya miaka 5. Sisi watanzania hatupendani kwenye maendeleo. Huyu baba hana hata shilingi alipo sasa
 
We nyamaza kimya huwajui na unajua huo mgodi ulianzaje? Nawatu wangapi wamesha udumia hapo?huo mgodi mpaka leo hii niwa Ramadhan kitinda kimaro na Antony Ngoo angalia hapo na ushaidi sio majungu muulize mdava wakati anaandika mkataba kama mgodi ulikuwa niwanani.Kesi mahakamani haijaisha ipo mwezi wa 2 2019 watakopoitwa maafisa wa madini ili waeleze huo mgodi unamilikiwa na akina nani.Kesi alishinda kwa hila asubirie sasa.
Screenshot_20181226-081638_Chrome.jpeg
 
Jamani tunawafahamu hawa watu kwa muda mrefu sana porini. Ni watu wenye hofu ya Mungu na ni wapambanaji mno. Issue ya ugomvi wao ni kutokana na mawe yao kurushwa na dealer mhindi na kusababishia Mzee Anton Ngoo kesi za fitna uhamiaji na mahakamani ila mwishowe alishinda hiyo kesi mzee wa watu na kurudishiwa mgodi wake baada ya miaka 5. Sisi watanzania hatupendani kwenye maendeleo. Huyu baba hana hata shilingi alipo sasa
Inaelekea huyu anayetoa hizi habari anawafahamu kuliko wewe.Hivi vielelezo anavyotoa siajabu anapata kwao bila wao kujua na anakula nao anashinda nao watapata tabu sana.Kikulacha ki nguoni mwako.Mnapo comment ndio mnazidisha.
 
Jamani tunawafahamu hawa watu kwa muda mrefu sana porini. Ni watu wenye hofu ya Mungu na ni wapambanaji mno. Issue ya ugomvi wao ni kutokana na mawe yao kurushwa na dealer mhindi na kusababishia Mzee Anton Ngoo kesi za fitna uhamiaji na mahakamani ila mwishowe alishinda hiyo kesi mzee wa watu na kurudishiwa mgodi wake baada ya miaka 5. Sisi watanzania hatupendani kwenye maendeleo. Huyu baba hana hata shilingi alipo sasa
Napenda kukujulisha tu kama unasema unawafahamu muda mrefu huyu mzee kumshinda kesi ramadhan kitinda kimaro ilitokana nahuyo unaemuita muhindi na luka kumsaidia mzee Ngoo. 1996 ramadhan kitinda kimaro nayeye alimsaidia mzee Antony Ngoo kupata uraia mahakamani wakati Antony Ngoo akiwa gerezani kisongo ramadhan kitinda kimaro na Charles maarufu kama njonjo alikwenda kijiji cha toloha mwanga na kuhonga na kupata mktasari wa kijiji kwamba Antony Ngoo kazaliwa hapo,kwa taarifa yako baadae kijiji kilitamka hakimtambui.Na ramadhan kitinda kimaro alikuwa anasaidia Antony mragha ngoo dhidi ya Thadei Mtinange.Nawewe unayemtetea ujue iko siku atakujeuka nipe namba zako in box nikupe mengi ya hawa matapeli ya Kenya.
 
Kwa serikali hii ya jiwe tutasikia tu jambo jipya kama tulivyomnyonyoa manyoya yule mama wa Vodacom. JF bahna......ngoja waje. Hii naituma fasta kwa TISS msela wangu.
huo ndo uzalendo,
 
Jamani tunawafahamu hawa watu kwa muda mrefu sana porini. Ni watu wenye hofu ya Mungu na ni wapambanaji mno. Issue ya ugomvi wao ni kutokana na mawe yao kurushwa na dealer mhindi na kusababishia Mzee Anton Ngoo kesi za fitna uhamiaji na mahakamani ila mwishowe alishinda hiyo kesi mzee wa watu na kurudishiwa mgodi wake baada ya miaka 5. Sisi watanzania hatupendani kwenye maendeleo. Huyu baba hana hata shilingi alipo sasa
Hawana hofu ya mungu wadhulumaji sanaa.waaulize wachimbaji wao walivyoteswa na wataveta waliokuja baada ya mawe kuanza kutoka hawa mashetani mgodi wamerusha unasema wanahofu ya mungu wakenya hawa.Muulize Kabwere muulize Thadei nyange watakwambie hiyo hofu yao ya mungu.
 
Wivu tu ndo unakusumbua, amekushindeni kibiashara mnaanza kuleta fitna za kijinga... Kwani kuwa Mkenya na kumiliki mgodi ni kosa? Sheria zinaruhusu na wala sioni sababu ya kumtaja huyo mbunge kwamba ndo itaongeza reliability ya story yako... Compete acha majungu
Unaweza kukubali mtu apangishe nyumba yenu kwa mpangaji mwingine halafu hela hampati hata senti tano.....?!
 
Wivu tu ndo unakusumbua, amekushindeni kibiashara mnaanza kuleta fitna za kijinga... Kwani kuwa Mkenya na kumiliki mgodi ni kosa? Sheria zinaruhusu na wala sioni sababu ya kumtaja huyo mbunge kwamba ndo itaongeza reliability ya story yako... Compete acha majungu
Lazima niwe na wivu kama wakenya kachimbe kwao kama utaachwa nahawa hawa unaowatetea.
 
Back
Top Bottom