Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

IMG_0011.jpg
IMG_3914.JPG
 
Aisee kama hujatumwa kuchafua hii familia una issue binafsi kwa hawa jamaa. Maana nikiangalia tangu mwaka 2012 unawaandama kwenye JF kuhusu uraia wao na umiliki wa migodi yao. Mbona hutupi mrejesho kuhusu tuhuma za mwaka 2012 ziliishia wapi. Pili, tunaomba kufahamu kama wana JF madini ya hawa watu yalitaifishwa na Rajan Verma Ashock (mhindi mwenye kampuni ya dealers inaitwa Crown Lapidary Ltd) na Lucas Michael Mdemu (dereva ambaye ni shoga wa huyo mhindi) walilipa kodi stahiki? Na je? Suala la uraia wa huyo mhindi aliyekutuma kuwachafua watu una uhakika nalo?. Kwa taarifa yako mimi ni broker/dealer wa Tanzanite, Arusha na naifahamu kwa undani ugomvi huu. Naomba uifahamishe JF chanzo cha mgogoro huu ni nini? Vinginevyo temana na uchafuzi wa watu bila sababu....pichani ni mhindi huyo tapeli na dereva wake ambaye ni shoga....
 
Evidence nimashitaka yalipo mahakamani View attachment 976307

Evidence gani ya shitaka lenye shinikizo kutoka kwa watu waliowarusha madini yao. Hawa vijana na baba yao ni wazalendo mno na ndio maana wanapigwa vita na baadhi ya watumishi kutokana na rushwa mhindi anawapa. Kesi hiyo haina mantiki yoyote. Na kwa ufahamu wangu mdogo kesi iliyopo mahakamani wewe unaijadije JF kama sio kibaka wa mhindi na uhamiaji kuwachafua watu wenye haki zao...
 
Hawa wameingia kitapeli sio wawekezaji.

Nani kasema wao ni wawekezaji. Hawa ni wazao kabisa wa Tanzania. Tatizo lao la uhamiaji limekuzwa kutokana na kudai haki yao ya madini waliyorushwa na mhindi mmoja Arusha na ukweli upo bayana. Mhindi huyo ni gwibi mkubwa wa kutorosha tanzanite na inajulikana Arusha nzima
 
Aisee kama hujatumwa kuchafua hii familia una issue binafsi kwa hawa jamaa. Maana nikiangalia tangu mwaka 2012 unawaandama kwenye JF kuhusu uraia wao na umiliki wa migodi yao. Mbona hutupi mrejesho kuhusu tuhuma za mwaka 2012 ziliishia wapi. Pili, tunaomba kufahamu kama wana JF madini ya hawa watu yalitaifishwa na Rajan Verma Ashock (mhindi mwenye kampuni ya dealers inaitwa Crown Lapidary Ltd) na Lucas Michael Mdemu (dereva ambaye ni shoga wa huyo mhindi) walilipa kodi stahiki? Na je? Suala la uraia wa huyo mhindi aliyekutuma kuwachafua watu una uhakika nalo?. Kwa taarifa yako mimi ni broker/dealer wa Tanzanite, Arusha na naifahamu kwa undani ugomvi huu. Naomba uifahamishe JF chanzo cha mgogoro huu ni nini? Vinginevyo temana na uchafuzi wa watu bila sababu....pichani ni mhindi huyo tapeli na dereva wake ambaye ni shoga....
Kama wamerushwa madini yao kwanini hawakwenda mahakamani?na wakaonesha mrijesho wao wa mapato wa wizara ya madini?ili weweze pata haki haki yao?hawa wanaogomvi zaidi ya huu kurushana.
 
Nani kasema wao ni wawekezaji. Hawa ni wazao kabisa wa Tanzania. Tatizo lao la uhamiaji limekuzwa kutokana na kudai haki yao ya madini waliyorushwa na mhindi mmoja Arusha na ukweli upo bayana. Mhindi huyo ni gwibi mkubwa wa kutorosha tanzanite na inajulikana Arusha nzima
Mimi namfahamu mzee Antony Ngoo tangu 1990 huyu mzee ni mkenya na nimefika hadi kwake undani taveta zaidi mara 5 ni mkenya kama una bisha angalia chanjo ya ndui ipo wapi ya mzee Antony Ngoo.Na mgodi aliyenao ulikuwa wa Thadei Mtinange baba yake mdogo na mtininange yeye na kabwere waliingia kwenye mgodi huo kama wafadhili ilipokuja sheria mpya ya kusajili migodi 1995 mzee Antony Ngoo alipewa hela na kabwere ya kuchukuwa leseni,ndipo Antony akatoa majina mawili ya kabwere na Antony.Kuhusu Davis Ngoo yeye alidai amezaliwa pangani kwenye cheti cha kuzaliwa na kujipatia pass ya Tanzania cheti cha kuzaliwa ntaweka hapa.Hawawezi wewe huwajui mi nawajua njee ndani hadi tabia ya mzee Antony Ngoo ya kulawiti watoto wa watu mgodini isijekuwa nawewe ni mmoja wao.Haya majizi nimepambana nao tangu 2012 wakiwa wanafadhiliwa na huyo muhindi.Wewe kaa endelea nahuo mchezo mchafu nahuyu mzee wako.Hiyo profile ulioweka sio sababu ya kujifanya mzalendo ntaendelea kuweka ushaidi mmoja mmoja kila siku mpaka kumsaidia Raisi wangu.Najua niwewe Raymond nyange ngoo nanayekujibu majizi ya rasilimali zetu muda wenu umefiki.Baada ya sikuku na kwenda wizara ya madini kuchukuwa ripoti yenu inayoonyesha mlitoa madini ya kiasi gani 2011 /2012 wakati mnafadhiliwa na huyo muhindi kabla hamjarushana.
 
Yani tuna hangaika kuwatafuta wawekezaji wewe unaleta ubinafsi ? Majungu so mtaji ndugu,kwayo wewe hii EAC bado tu hujajua maana yake?
 
Mkenya Davis Ngoo na baba yake Antony mragha ngoo ni wakenya wanaotumiwa na tajiri jonhson Muzama ambaye ni mbunge wa kenya na mfanyabiasha mkubwa wa madini ya green na Tanzanite kumiliki migodi Tanzania,Muzama ndio anawafadhili kuchimba migodi hiyo.Hawa wakenya wamejipatia mali nyingi sanaa Tanzania kwa kutorosha madini yetu,Wakenya hawa wemejipenyeza hadi kufanya kazi za kimahakama Majuzi Raymond nyange ngoo alikamatwa na Uhamiaji na kufikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya kazi bila kibali.Kampuni ya Hakika wabia wa Raymond nyange ngoo walihukumiwa kwenda jela miaka 3 au faini ya laki 5 ambazo walilipa.Davis mragha ngoo ambaye yupo chini ya uchnguzi anamiliki silaha ulivyopata kwa vitambulisho bandia hapa Tanzania.Serika ifuatilie na ipige marufuku wakenya kumiliki migodi yetu kama ambavyo wakenya hataki magari ya Tanzania ya watalii kungia kwao.pichani ni Davis Ngoo na mnunuzi wa madini kutoka Tailand na Raymond nyange ngoo akiwa ofisini Hakika na baba yao akiwa mirerani mgodi pia Raymond anaye kiri mwenyewe kuwa mkenya akiwa mgodi View attachment 975450View attachment 975451View attachment 975453

wapinzani ndio tunao wategemea sema wamedili kunywa soda ya stoni tangawazi
 
Mimi namfahamu mzee Antony Ngoo tangu 1990 huyu mzee ni mkenya na nimefika hadi kwake undani taveta zaidi mara 5 ni mkenya kama una bisha angalia chanjo ya ndui ipo wapi ya mzee Antony Ngoo.Na mgodi aliyenao ulikuwa wa Thadei Mtinange baba yake mdogo na mtininange yeye na kabwere waliingia kwenye mgodi huo kama wafadhili ilipokuja sheria mpya ya kusajili migodi 1995 mzee Antony Ngoo alipewa hela na kabwere ya kuchukuwa leseni,ndipo Antony akatoa majina mawili ya kabwere na Antony.Kuhusu Davis Ngoo yeye alidai amezaliwa pangani kwenye cheti cha kuzaliwa na kujipatia pass ya Tanzania cheti cha kuzaliwa ntaweka hapa.Hawawezi wewe huwajui mi nawajua njee ndani hadi tabia ya mzee Antony Ngoo ya kulawiti watoto wa watu mgodini isijekuwa nawewe ni mmoja wao.Haya majizi nimepambana nao tangu 2012 wakiwa wanafadhiliwa na huyo muhindi.Wewe kaa endelea nahuo mchezo mchafu nahuyu mzee wako.Hiyo profile ulioweka sio sababu ya kujifanya mzalendo ntaendelea kuweka ushaidi mmoja mmoja kila siku mpaka kumsaidia Raisi wangu.Najua niwewe Raymond nyange ngoo nanayekujibu majizi ya rasilimali zetu muda wenu umefiki.Baada ya sikuku na kwenda wizara ya madini kuchukuwa ripoti yenu inayoonyesha mlitoa madini ya kiasi gani 2011 /2012 wakati mnafadhiliwa na huyo muhindi kabla hamjarushana.

Huna hoja yoyote ya maana ndugu kwa sababu umeshasema walirushwa madini yao na huyo mhindi. Kikubwa tuisadie serikali kupambana na huyo muhindi ili kodi ya serikali ipatikane kulikoni kupambana na watu wasio na hatia. Post yako ina majugungu sana. Bahati nzuri umeweka wazi unamfahamu huyo Mzee na familia yake,,, ni vyema uchunguzwe pia kutokana na wewe huenda ulishirikiana kuwataifisha madini yao na mwisho kujibu tuhuma za kulawiti watoto
 
Mi sioni kama kuna kurushana kuna vyama vya wachimbaji kuna Tamida kuna mahakama bado mtu anakaa kunung'uninga nasehemu za kupata haki yako ipo kuna kitu nyuma ya pazia.
 
Kama wamerushwa madini yao kwanini hawakwenda mahakamani?na wakaonesha mrijesho wao wa mapato wa wizara ya madini?ili weweze pata haki haki yao?hawa wanaogomvi zaidi ya huu kurushana.

Tatizo ya biashara ya madini ni ya kuaminiana hamna maandishi wakati wa kufanya biashara. Kwa hiyo kupeleka mahakamani isingekuwa solution. Tunaamini wanaweza kusaidia serikali kucover taxes zilizokwepwa wakati huo
 
Evidence gani ya shitaka lenye shinikizo kutoka kwa watu waliowarusha madini yao. Hawa vijana na baba yao ni wazalendo mno na ndio maana wanapigwa vita na baadhi ya watumishi kutokana na rushwa mhindi anawapa. Kesi hiyo haina mantiki yoyote. Na kwa ufahamu wangu mdogo kesi iliyopo mahakamani wewe unaijadije JF kama sio kibaka wa mhindi na uhamiaji kuwachafua watu wenye haki zao...
Mashtaka niya Uhamiaji sio waliowarusha
 
Yani tuna hangaika kuwatafuta wawekezaji wewe unaleta ubinafsi ? Majungu so mtaji ndugu,kwayo wewe hii EAC bado tu hujajua maana yake?
Cheti cha kufoji mama anaitwa esther nangoto mziray hayo hapo ni maelezo ya Raymond nyange ngoo aliyomwandikia raisi soma jina la mama yake alisi.Nyeye wateteeni tuu lakini Kenya hawatapa zawadi nyingine ya ndege kama walivyopewaga kwa kuuza Tanzanite nyingi nje.
Screenshot_20181225-194423_Drive.jpeg
 
Cheti cha kufoji mama anaitwa esther nangoto mziray hayo hapo ni maelezo ya Raymond nyange ngoo aliyomwandikia raisi soma jina la mama yake alisi.Nyeye wateteeni tuu lakini Kenya hawatapa zawadi nyingine ya ndege kama walivyopewaga kwa kuuza Tanzanite nyingi nje.View attachment 977199
Huu mjadala malizeni mtoa maada na wajibu mada majuana vizuri sanaa kaeni chini muyamalize.
 
Cheti cha kufoji mama anaitwa esther nangoto mziray hayo hapo ni maelezo ya Raymond nyange ngoo aliyomwandikia raisi soma jina la mama yake alisi.Nyeye wateteeni tuu lakini Kenya hawatapa zawadi nyingine ya ndege kama walivyopewaga kwa kuuza Tanzanite nyingi nje.View attachment 977199

duuuuh. Unafurahisha Lengio. Maelezo aliyoandikiwa Mh Rais umeyapataje wewe? Nahisi hii taarifa yako ni potuvu. Tufunge hii mada sasa. Wastage of time
 
Back
Top Bottom