Yoyote mwenye kunisaidia anaweza kuniPM tafadhali! Natanguliza shukraniMimi ni binti wa miaka 25, ni muhitimu wa shahada ya ukemia mwaka 2018 katika chuo kikuu cha Dar es Salaam. Ninahitaji ajira yoyote ya halali katika viwanda au kampuni yoyote inayohusiana na ukemia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Share your expected salary via DM.Mimi ni binti wa miaka 25, ni muhitimu wa shahada ya ukemia mwaka 2018 katika chuo kikuu cha Dar es Salaam. Ninahitaji ajira yoyote ya halali katika viwanda au kampuni yoyote inayohusiana na ukemia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi mambo yanaenda kwa kushikwa mkono, kugonga tu ofisini kwa mtu kichwa kichwa inakua ngumu! Ila nashukuru kwa ushauri, nitaufanyia kazi.
Asante mkuu! Ningepata walau email au namba za simu ingeweza kunisaidia nikaja kwa urahisi huko kama usemavyo
Yes mkuu..bado wapo hapo hapo departmentHongera mkemia jaribu hata kujitolea mahali popote ambapo kada yako inafit unaweza pata chochote.. all in all Prof Mhinzi, Dr Mahugija na Dr Mgina bado wapo kweli!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unahitaji mfizikia mwingine nipo hapa pia Mkuu..Natanguliza shukrani.Ulipata kazi?
MkuuHapana, bado