papag Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,365 Reaction score 2,062 Aug 14, 2013 #1 Jamaa mmoja aliulizwa utaoa liniI ?akajibu nasubiri mwanamke atakaeachika ndio nimuoe;watu wakamuuliza kwanini unataka aliyeachika? akawajibu kwasababu MKE MWEMA NI YULE ANAYETOKA KWA BWANA .
Jamaa mmoja aliulizwa utaoa liniI ?akajibu nasubiri mwanamke atakaeachika ndio nimuoe;watu wakamuuliza kwanini unataka aliyeachika? akawajibu kwasababu MKE MWEMA NI YULE ANAYETOKA KWA BWANA .