Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,979
- 5,295
Vizuri, endelea kumpenda mke wako!Kwa masikitiko makubwa mkulungwa jana usiku ingekuwa usiku wangu wa mwisho duniani.
Tukiwa kitandani bahati mbaya ukazuka ugomvi na kutoelewana baina yetu, nilikuwa na boksa tu, katika purukushani akazikamata korodani zangu akaniambia "baba fulani ukiendelea utazikosa".
Ila nikajitutumua kumpiga, akaanza kuzifinya, niliangua kilio cha uchunga kilichoamsha wanangu wawili. Kwa kuwa mlango ulifungwa hawakuweza kuingia chumbani.
Baada ya kusikia baba yao nalia nao walianza kulia, mke wangu akaniacha kwani nilikuwa nakaribia kuzimia. Akawarudisha watoto bedrooms zao wakati huo nilikuwa nimelala sikuweza kuinuka.
Asubuhi ya leo wife kaniomba msamaha na kusema hasira tu, sikumjibu kitu na job nimeomba ruhusa, siwezsiwezi kutembea vizuri.
Kitakachojiri nitawajulisha, ila bado nampenda mke wangu.
Ahsanteni nawasilisha.
Acha tuYaani mnapigania kotandani mlikua mmezima taa,mmweka neti,mmebanduana au? Hebu eleza vizuri tukusaidie
Huyo atakuja akuchome na maji ya moto au mafuta kwa kisingizio cha hasira tu...Niliangua kilio cha uchungu
Mke wangu akaniacha kwani nilikuwa nakaribia kuzimia.
Sasa pamoja na kumzalisha watoto 2 bado hajui umuhimu wake mpaka anafikia kuzifinya...?Kwa masikitiko makubwa mkulungwa jana usiku ingekuwa usiku wangu wa mwisho duniani.
Tukiwa kitandani bahati mbaya ukazuka ugomvi na kutoelewana baina yetu, nilikuwa na boksa tu, katika purukushani akazikamata korodani zangu akaniambia "baba fulani ukiendelea utazikosa".
Ila nikajitutumua kumpiga, akaanza kuzifinya, niliangua kilio cha uchungu kilichoamsha wanangu wawili. Kwa kuwa mlango ulifungwa hawakuweza kuingia chumbani.
Baada ya kusikia baba yao nalia nao walianza kulia, mke wangu akaniacha kwani nilikuwa nakaribia kuzimia. Akawarudisha watoto bedrooms zao wakati huo nilikuwa nimelala sikuweza kuinuka.
Asubuhi ya leo wife kaniomba msamaha na kusema hasira tu, sikumjibu kitu na job nimeomba ruhusa, siwezi kutembea vizuri.
Kitakachojiri nitawajulisha, ila bado nampenda mke wangu.
Ahsanteni nawasilisha.
Utatujulisha kinachojiri saa ngapi nawe utakuwa umeshakufa kufikia jioni?Kwa masikitiko makubwa mkulungwa jana usiku ingekuwa usiku wangu wa mwisho duniani.
Tukiwa kitandani bahati mbaya ukazuka ugomvi na kutoelewana baina yetu, nilikuwa na boksa tu, katika purukushani akazikamata korodani zangu akaniambia "baba fulani ukiendelea utazikosa".
Ila nikajitutumua kumpiga, akaanza kuzifinya, niliangua kilio cha uchungu kilichoamsha wanangu wawili. Kwa kuwa mlango ulifungwa hawakuweza kuingia chumbani.
Baada ya kusikia baba yao nalia nao walianza kulia, mke wangu akaniacha kwani nilikuwa nakaribia kuzimia. Akawarudisha watoto bedrooms zao wakati huo nilikuwa nimelala sikuweza kuinuka.
Asubuhi ya leo wife kaniomba msamaha na kusema hasira tu, sikumjibu kitu na job nimeomba ruhusa, siwezi kutembea vizuri.
Kitakachojiri nitawajulisha, ila bado nampenda mke wangu.
Ahsanteni nawasilisha.
Kwa masikitiko makubwa mkulungwa jana usiku ingekuwa usiku wangu wa mwisho duniani.
Tukiwa kitandani bahati mbaya ukazuka ugomvi na kutoelewana baina yetu, nilikuwa na boksa tu, katika purukushani akazikamata korodani zangu akaniambia "baba fulani ukiendelea utazikosa".
Ila nikajitutumua kumpiga, akaanza kuzifinya, niliangua kilio cha uchungu kilichoamsha wanangu wawili. Kwa kuwa mlango ulifungwa hawakuweza kuingia chumbani.
Baada ya kusikia baba yao nalia nao walianza kulia, mke wangu akaniacha kwani nilikuwa nakaribia kuzimia. Akawarudisha watoto bedrooms zao wakati huo nilikuwa nimelala sikuweza kuinuka.
Asubuhi ya leo wife kaniomba msamaha na kusema hasira tu, sikumjibu kitu na job nimeomba ruhusa, siwezi kutembea vizuri.
Kitakachojiri nitawajulisha, ila bado nampenda mke wangu.
Ahsanteni nawasilisha.
Nilitaka ni komenti, Ila kabla ya kukomenti nikasema niulize kwanza ilikuwaje ukalala na boksa?Kwa masikitiko makubwa mkulungwa jana usiku ingekuwa usiku wangu wa mwisho duniani.
Tukiwa kitandani bahati mbaya ukazuka ugomvi na kutoelewana baina yetu, nilikuwa na boksa tu, katika purukushani akazikamata korodani zangu akaniambia "baba fulani ukiendelea utazikosa".
Ila nikajitutumua kumpiga, akaanza kuzifinya, niliangua kilio cha uchungu kilichoamsha wanangu wawili. Kwa kuwa mlango ulifungwa hawakuweza kuingia chumbani.
Baada ya kusikia baba yao nalia nao walianza kulia, mke wangu akaniacha kwani nilikuwa nakaribia kuzimia. Akawarudisha watoto bedrooms zao wakati huo nilikuwa nimelala sikuweza kuinuka.
Asubuhi ya leo wife kaniomba msamaha na kusema hasira tu, sikumjibu kitu na job nimeomba ruhusa, siwezi kutembea vizuri.
Kitakachojiri nitawajulisha, ila bado nampenda mke wangu.
Ahsanteni nawasilisha.
Namtegea akijiroga tena namminya titi lake la kushoto.Kweli mkulungwa umefanywa hayo mazito pole sanaa