Katikomile
JF-Expert Member
- Jul 12, 2007
- 471
- 74
Sina uhakika kama hili lilishajadiliwa hapa? Ila ningependa kupata maoni ya wadau hapa JF. Niekuwa nikijiuliza mara kwa mara, Mwanamke anawezakuwa anapata Shs. Mil 5 kwa mwezi, Mwanaume Shs. Mil 2, Lakini bado kila kitu utasikia, Baba nanilii, unga umeisha, mchele hakuna, Luku imeisha. Watoto wakitaka school fees ama madaftari, utasikia mwambie babayako. Mama yeye ni Salon ama kujenga kwao na samtymz bila kukwambia!
Hii imekaaje jamani akina Chrispin, Geoff, bht, Bujibuji, carmel, FirstLady 1 , George_Porjie, JS, klorokwini, Lily Flower, MwanajamiiOne, Ngongo, Nguli, Preta, Pretty, Prodigal Son, Shishi, SMU, Soulbrother, Sumbalawinyo na wadu wengine humu JF.
Michango yenu ni muhimu sana!!!!!!!!
mwanaume ndiye kichwa cha familia,Sina uhakika kama hili lilishajadiliwa hapa? Ila ningependa kupata maoni ya wadau hapa JF. Niekuwa nikijiuliza mara kwa mara, Mwanamke anawezakuwa anapata Shs. Mil 5 kwa mwezi, Mwanaume Shs. Mil 2, Lakini bado kila kitu utasikia, Baba nanilii, unga umeisha, mchele hakuna, Luku imeisha. Watoto wakitaka school fees ama madaftari, utasikia mwambie babayako. Mama yeye ni Salon ama kujenga kwao na samtymz bila kukwambia!
Hii imekaaje jamani akina Chrispin, Geoff, bht, Bujibuji, carmel, FirstLady 1 , George_Porjie, JS, klorokwini, Lily Flower, MwanajamiiOne, Ngongo, Nguli, Preta, Pretty, Prodigal Son, Shishi, SMU, Soulbrother, Sumbalawinyo na wadu wengine humu JF.
Michango yenu ni muhimu sana!!!!!!!!
leo ni siku ya heshima ya malediz! kuwachalenji iz noti alowed. inabidi uuchune tu. ukiwachalenji tunakuban.WANAWAKE NAWAHESHIMU SANA!lakini kwenye hiloooooooo..........!well,
ngoja kwanza...
wana kamsemo fulani wanasema "hela ya mwanamke inaishiaga kwenye lipstiki" i donti knoo how machi zis iz truu.Sina uhakika kama hili lilishajadiliwa hapa? Ila ningependa kupata maoni ya wadau hapa JF. Niekuwa nikijiuliza mara kwa mara, Mwanamke anawezakuwa anapata Shs. Mil 5 kwa mwezi, Mwanaume Shs. Mil 2, Lakini bado kila kitu utasikia, Baba nanilii, unga umeisha, mchele hakuna, Luku imeisha. Watoto wakitaka school fees ama madaftari, utasikia mwambie babayako. Mama yeye ni Salon ama kujenga kwao na samtymz bila kukwambia!
Hii imekaaje jamani akina Chrispin, Geoff, bht, Bujibuji, carmel, FirstLady 1 , George_Porjie, JS, klorokwini, Lily Flower, MwanajamiiOne, Ngongo, Nguli, Preta, Pretty, Prodigal Son, Shishi, SMU, Soulbrother, Sumbalawinyo na wadu wengine humu JF.
Michango yenu ni muhimu sana!!!!!!!!
MjasiriamaliShupavu kwa kawaida ndivyo ilivyojengwa na jamii yetu toka enzi za mababu zetu kuwa mwanaume atamlea mkewe na familia yake kwa nguvu zake zote. Na hii ni kwa kuwa zamani wengi wa akina mama walikuwa hawana kipato chochote kwa kuwa hawakuwa wakifanya kazi yoyote (Hii ilichangiwa na mengi including mila na desturi zilizokuwa zikimnyima mtoto wa kike elimu kwa madai kuwa atakwenda kuolewa na kulelewa na mumewe). Kutokana na hayo mke alikuwa na haki kukudai wewe kama mume hayo yote.Sina uhakika kama hili lilishajadiliwa hapa? Ila ningependa kupata maoni ya wadau hapa JF. Niekuwa nikijiuliza mara kwa mara, Mwanamke anawezakuwa anapata Shs. Mil 5 kwa mwezi, Mwanaume Shs. Mil 2, Lakini bado kila kitu utasikia, Baba nanilii, unga umeisha, mchele hakuna, Luku imeisha. Watoto wakitaka school fees ama madaftari, utasikia mwambie babayako. Mama yeye ni Salon ama kujenga kwao na samtymz bila kukwambia!
Hii imekaaje jamani akina Chrispin, Geoff, bht, Bujibuji, carmel, FirstLady 1 , George_Porjie, JS, klorokwini, Lily Flower, MwanajamiiOne, Ngongo, Nguli, Preta, Pretty, Prodigal Son, Shishi, SMU, Soulbrother, Sumbalawinyo na wadu wengine humu JF.
Michango yenu ni muhimu sana!!!!!!!!
Sasa mbona kichwa cha habari na maelezo yanatofautiana? Au ni macho yangu mimi?( Maana leo nimekosea nikaalngalia kupatwa kwa jua with my naked eyes).
ukitangaza salari ,unajichimbia kaburi! kinamama wengine wanaupigia mahesabu mshahara wa disemba kwenye mwezi wa juni . he he he!Samahani kama nimeku-confyuzi MwanaJ1, ila theme ya thread yangu ilikuwa umuhimu wa Bw. kutangaza mshahara wake kama kweli inasaidia???
salari ni SIRI!ndio ni lazima aujue ..hakuna mbaya hapo Vip unaogopa?
harafu wewe Geoff kwa nini unasita kutoa jibu hapo?
salari ni SIRI!
SIRI YA JESHI
akijua tu,hizo bia utazisikia bombani
cha muhimu apate kila anachokihitaji..........
salari hapana
Wewe fikiria unamwambia mke wangu leo hali ngumu, na hapo anakwambia LUKU imeisha, unaenda kwa mshikaji unakopa hata 20,000 ili ikuvute kidogo msikae gizani, jioni unarudi anakwambia nimenunua wa 10,000, kumi nyingine nimeedea saluni!! Na si kwamba kuna mtoko wa maana ama labda nywele zimechoka sana, sasa je akiujua mshahara hivyo vikao vitakalika kweli ama ndo Serengeti hainyweki tena?