Huo muda unautoa wapi.......hapo mwendo unashindlia hotelin unawaletea watt vyakula vizuri hafu unamwacha yeye ale nyama zake peke yake.Kuna tiba maalumu ya kumtibia mtu mchoyo
Ongeza utafutaji yaani uwe na kipato cha kutosha anza kumuachia pesa ya kutosha na nunua bidhaa za vyakula anazozipenda kwa wingi hapo nyumbani na uwe unampendelea kwa kumuachia afanye hivyo yaani anajiwekea chakula kwa wingi usimchoke fanya hivyo mara kwa mara
Tafuta safari nae muende matembezi mkiona watu barabarani wanaomba omba mpe pesa atoe awape kama kuwasaidia kama sadaka
Tembea nae vituo vya yatima kutoa nae misaada
Yaani mueke mbele mbele kwenye kutoa ukifanya hivyo mara kwa mara atapunguza kama sio kuacha kabisa
Sio mpa... kweli 😁Kabila gani huyo mwanamke, ninachojua baba ndo huwa anapendelewa siku zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1] itakuwa aisee.sio mpa... kweli [emoji16]
Kwann ndugu?
Duuu unanitisha sasaSio mchoyo tu bali ni mroho pia
Watu wa hivyo kuuwa ili waachiwe manyama hayo na kupunguza mtu kwenye share ya familia ni rahisi sana
Ana chembechembe za uchawi huyo
Ataangamiza familia siku moja
Mrudishe kwao mchawi huyo [emoji23][emoji23]
Naogopa asije ona namsimangaMwambie ukweli aache uchoyo
Kwa uwezo gn nilionao?!Kuna tiba maalumu ya kumtibia mtu mchoyo
Ongeza utafutaji yaani uwe na kipato cha kutosha anza kumuachia pesa ya kutosha na nunua bidhaa za vyakula anazozipenda kwa wingi hapo nyumbani na uwe unampendelea kwa kumuachia afanye hivyo yaani anajiwekea chakula kwa wingi usimchoke fanya hivyo mara kwa mara
Tafuta safari nae muende matembezi mkiona watu barabarani wanaomba omba mpe pesa atoe awape kama kuwasaidia kama sadaka
Tembea nae vituo vya yatima kutoa nae misaada
Yaani mueke mbele mbele kwenye kutoa ukifanya hivyo mara kwa mara atapunguza kama sio kuacha kabisa
Bila shaka utakuwa Ni kibongeNasikiaga wanasema wanawake mabonge hawanaga hizo tabia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nasoma huku NACHEKA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama namuona vile akiwa kajigubika na kufura wakati wa kula hizo finyango zake 5
Mmh!Mwambie tu mwenzie nyumba ndogo sio mchoyo kama yeye hakika utakuja kunishukuru
Mbonge kama mkeoBila shaka utakuwa Ni kibonge
VP umeolewa?!
Mna utani na wapare nyieeeee [emoji38][emoji38]
Hapna jaamaaniii siosio mpa... kweli [emoji16]
Haya AsanteKama anakufanyia hivo akipika nyama tu mtafutie siku moja mpeleke kwenywe minada ya nyama choma uumzoeshe inaweza kuwa kakulia kwenye mazingira ambayo kupata nyama ilikua changamoto kidogo
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]Huo muda unautoa wapi.......hapo mwendo unashindlia hotelin unawaletea watt vyakula vizuri hafu unamwacha yeye ale nyama zake peke yake.
Huyu wa kanda ya magharibi hukoKabila gani huyo mwanamke, ninachojua baba ndo huwa anapendelewa siku zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaanisha nn HAPA?!Ni ngumu sana kumfundisha mbwa mzee kuwinda
[emoji38][emoji38][emoji38]sio bonge nyanya lakini Ni wa kawaida tuMbonge kama mkeo