Ahaaaaa haaaaa nimepinda hiyo mbinu ya shemeji!! Ni wanawake wachache sana wenye uthubutu! Hiyo ndi banamatumizi inayotakiwa duniani! Kaka kuwa kinyonga badilika kulingana na mazingira!
Maelezo yako yanaonyesha dhahiri ulikuwa humsaidii huyo dada bali alikuwa anakusaidia wewe!Kama hakuna kibaya kt yako na huyo dada why uogope mkeo kupanda kupanda pamoja na huyo dada?Tatizo ni huko kubana matumizi kunakoingilia uhuru wangu bana, nilikuwa nitoka kazini napaki pale New Afrika hotel wakati wa Happy Hour sasa hivi hii yote itapeperuka halafu kuna dada jirani nilikuwa namsaidia sana lifti maana yeye ndio kaanza tu kazi sasa wife si atakuwa anambana.
Maelezo yako yanaonyesha dhahiri ulikuwa humsaidii huyo dada bali alikuwa anakusaidia wewe!Kama hakuna kibaya kt yako na huyo dada why uogope mkeo kupanda kupanda pamoja na huyo dada?
Ukitaka jua kuwa mkeo mkali hebu jaribu kutoka nae na umpakie huyo rafiki yako...safari haitakuwa ya kazini ila kuwahi hosp.
Mkuu mie ningekushauri u-act kama M*kinda, endeleza bunge
Hii ya kuwa na baba kivuli ni dai gum
u zaidi kuliko kuuza hiyo vitz !!
Huyo mke wako ni Mpinzani typical. Nadhan yupo kwenye mchakato wa wewe kuwa unalala na jeans!
safi sana nimeipenda tabia ya dadang,mi cjaona kama ni vibaya lbd kama una vimeo vyako huko njian ndo maana hutaki mtumie gari moja au sehemu ambazo unapitia sio kuzuri unaona kama mkeo atagundua but ina uzuri wake, mwaka huu mtakabwa hadi mtaamua kuoa hizo nyumba ndongo ambazo hamtaki zijulikane
Huna lolote amekustukia kwa taarifa ngoja akutia akili ujue kwamba hizo bia ni hela siyo karatasi au unapewa bure. Kaa utulie mtoto wa kiume au hujui mbinu tukufundishe ili mkeo akuamini?
Ni PM nikupe mbinu mbadala1
Naunga hoja mkono.Huna lolote amekustukia kwa taarifa ngoja akutia akili ujue kwamba hizo bia ni hela siyo karatasi au unapewa bure. Kaa utulie mtoto wa kiume au hujui mbinu tukufundishe ili mkeo akuamini?Ni PM nikupe mbinu mbadala1