Mke wangu na kisa cha profesa Lipumba

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
16,868
Reaction score
15,736
Kama mjuavyo wakuu my wife aliamua kutoweka home miezi kama saba iliyopita na akabeba baadhi ya vitu,naskia siku hizi mambo yake saafi pande fulani hapo Dar.Sikuja kumjadili yeye ila kuna mtu kaniuliza leo vp watoto nikamwambia wako poa,vip mama yao karudi nikamwambia atarudi vipi akasema si anarudi kwake nikameambia haiwezekani.Akaniuliza kwanini,nikamjibu,si atakuwa kama profesa Lipumba?Dar,huyo mdada amechekaaa,mpaka amepata hamu ya kuja kunitembelea.Ni hayooo tuu,ukitukana na mimi nakutukana kupitia CRDB.
 
Nina mashaka kwa theed yako hata nifah atakuja kukutembelea
 
Nimekuelewa kwa shida sana.
Jifunze kuandika habari ya kueleweka kwa urahisi.
Asante.
Nilichoona ni kwamba alitaka kulihusanisha na tukio la lipumba lakini kashindwa jinsi ya kuliwasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…