Habari wadau mimi nna mke wangu now tuna miaka nane na mtoto mmoja,tatzo mke wangu huu ni mwezi sasa yeye aktoka kazin ni kulala nkirudi au tukirud wote yeye break ya kwanza mi npo sebulen ye kalala chumban,akiamka ni kula na kuoga na kurudi lala,wkend ndo hivyo ni kulala tu mi npo sebulen ye kalala room no sex no what nkimuuliza anaumwa alikwenda hosp wakasema haumwi,alinambia ana mimba bt cha ajabu nlimwambia akapme nijue ni ya mda gani aligoma akidai hataki kupgwa x ray kwasasa labda mpaka baadaye sn,zaid alijpma mwenyewe tu,shughuri zote anafanya dada wa kazi,tulikuwa tunaoga wote bt now anaoga mwenyewe kimyakimya kisha anakwenda kulala nkistuka kwenda mcheki nakuta alishalala zaman sn,kazin tulikuwa tunatoka wote bt now mi naoga ye anavaa fast anaondoka akirud ni kulala tu yaan smuelewi wakuu sjui tatzo nn...kuna mtu alinambia ni jini mahaba. Ushauri wenu maana nahisi taanza kuchepuka,nmeshakaa naye sn kumweleza bila mafanikio na hata mda huu nilimwamsha nkaja naye sebulen kumweleza bt wakat naongea ye anasinzia tu wakat nmetoka kazn jion nmekuta kalala,sasa aliposkia mtoto analia ye mbio kaenda ndo jumla kaenda kulala hakurudi tena.