linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,734
- 4,395
Kupenda gani huko? Vijimapenzi vya ma teenagers hivyo kaka..Mkuu mbona unataka kufika mbali tena uko
Pole sana Kaka yangu ningejua ni kichaga kumbe hata Kaka yangu chuma cha mjerumani au Pacha wangu MBIIRWA wangenisaidia kutafsiri. Hahaaaa.
Usijali Mkuu pole sana ndio mapenzi hayo kila mmoja ana ya namna yake.
Yaani. Ila ndio hivyo kila mmoja ana namna yake ya kuyapokea.Mapenzi yamekuwa moja ya janga la dunia.
Yaani. Ila ndio hivyo kila mmoja ana namna yake ya kuyapokea.